Kifurushi cha internet cha Halotel cha 500MB huyeyuka fasta!

Kifurushi cha internet cha Halotel cha 500MB huyeyuka fasta!

Ujue sisi ni watu wazima wenzio kwahiyo tunaomba upunguze kiwango chako cha uongo hiko .....siku nne???[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Jamaa ni muongo sana huyo, sijui anauza shilingi ngapi huo uongo wake
 
Thubutuuuuuuuuuuuuuuuu nakataaaaa ×10000000 hakiwez kaa kwa hizo siku ulizosema labda uwe sehemu ambayo kasi ya internet iko chini sana utakaa nacho siku 3
Mm natumia hizo, sipo fb wala situmii Instagram.....ila nadownload km kawaida....Whatsap kwa sana lakini mb zinadumu, kuna mda hadi inafika deadline nikiwa bado ninazo mb...ambapo hunilazimu kuzimaliza haraka kwa kudownload nyimbo mitandaoni
 
Kama haupo insta nakubaliana na ww ila sisi wahanga wa instagram ni sheeeeeeedaaaaah
 
Ujue sisi ni watu wazima wenzio kwahiyo tunaomba upunguze kiwango chako cha uongo hiko .....siku nne???[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Sasa kama wewe ndo mimi sawa......mie nabrowse tu....we unaangalia video....ungeuliza unatumiaje......Mimi sishindi mtandaoni siku nzima kama wewe...ACHA UJUAJI
 
Kuna hiki kifurushi cha chuo cha 500MB nashangaa huwa kinaisha fasta sijui ni cha kichina? Kinaisha fasta kwa kuperuzi tu bila hata kudownload chochote! Nyie mliowahi kukitumia mnakionaje?
Nilikua na mpango wa kuhamia halotel kwasababu ya mbs Sasa nimeahirisha

Na Hawa tigo ndo sitaki kiwazungumzia kabisa wezi sana
 
Nilikua na mpango wa kuhamia halotel kwasababu ya mbs Sasa nimeahirisha

Na Hawa tigo ndo sitaki kiwazungumzia kabisa wezi sana
Halotel hawana shida kabisa....Shida ni hizi site tunazotumia...muda mwingi kusrtream videos...lazima Mb ziishe.Na kwa sasa halotel na TTCL ndo kimbilio la wengi..Tigo hamna kitu..Voda labda ya chuo
 
Tigo ndio wamezidi kabisaa,yaani ukiweka tu Mb 500,umeliwa hata dk 20 hazipiti.Unajiuliza wamekulaje haupati jibu.ukiwapigia wanakuambia ulikuwa unatumia internet eboo! net gani wakati tangu nijiunge sijaingia huko utasikia ohh uliacha data on, saasa unajiuliza kama kusinge kuwa na Mb na data ipo on wangekula nini?
Imebidi nicheke
 
Halotel hawana shida kabisa....Shida ni hizi site tunazotumia...muda mwingi kusrtream videos...lazima Mb ziishe.Na kwa sasa halotel na TTCL ndo kimbilio la wengi..Tigo hamna kitu..Voda labda ya chuo
Yani Mkuu Hawa tigo ndo nmesahaugi kuingia Insta na YouTube hawatoi huduma kabisa sijui kwann wanafanya hv
Ntahamia Halotel
 
Back
Top Bottom