Kifurushi cha internet cha Halotel cha 500MB huyeyuka fasta!

Kifurushi cha internet cha Halotel cha 500MB huyeyuka fasta!

Msiifananishe halotel na hiyo mitandao ya kijingajinga, kizuri kinajiuza bhana
 
Hiyo halotel MI najiunga kwenye simu tu, nikiweka kwenye Laptop kinaisha faster ni hatari wizi mtupu
 
Sasa hutaki ziishe mkuu, kwani ulivyojiunga walikwambia hazitaisha?? Umetumia zimeisha basi tena..

Karibu katika kizazi cha T, Tumefanikisha!
 
Hawa jamaa wanatufanyia mambo ya kihuni tu.... Nadhani ile fine ya 700M ilikuwa kidogo.....
 
Kuna hiki kifurushi cha chuo cha 500MB nashangaa huwa kinaisha fasta sijui ni cha kichina? Kinaisha fasta kwa kuperuzi tu bila hata kudownload chochote! Nyie mliowahi kukitumia mnakionaje?
Yan ni shiiiida hyo kitu kwa kweli .......watuonee japo huruma hawa viumbe
 
Mbona mm inakaa sana tena na downloadia kabisa....wiki zinafika....mda mwngine inachukua siku 4/5. Nikuuzie?... Una elfu 8 nikupe?
Thubutuuuuuuuuuuuuuuuu nakataaaaa ×10000000 hakiwez kaa kwa hizo siku ulizosema labda uwe sehemu ambayo kasi ya internet iko chini sana utakaa nacho siku 3
 
Halotel ni matapeli haswa, unaweza kuweka 1200mb ndani ya nusu saa kimeisha hata kama data ni off.
Toooooooobaaaaaa mkuu hii yako kali sana[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Tigo ndio wamezidi kabisaa,yaani ukiweka tu Mb 500,umeliwa hata dk 20 hazipiti.Unajiuliza wamekulaje haupati jibu.ukiwapigia wanakuambia ulikuwa unatumia internet eboo! net gani wakati tangu nijiunge sijaingia huko utasikia ohh uliacha data on, saasa unajiuliza kama kusinge kuwa na Mb na data ipo on wangekula nini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Umejiunga IG,SNAPCHAT,YOUTUBE,WHATSAPP....Tena speed unatumia 4G NA unastream muda wote..then utegemee muujiza....
Hapana.....Binafsi MB 500+100 za Halotel (kwa jelo tu) natumia siku nne mpaka tano hapa kwa laptop yangu.
Ujue sisi ni watu wazima wenzio kwahiyo tunaomba upunguze kiwango chako cha uongo hiko .....siku nne???[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Ndo maana uwa naikubali voda sitokaa niiache kamwe mtandao unaoongoza tanzania
 
Back
Top Bottom