chavalla
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 451
- 354
Mkuu mi nataka hiyo laini ya vmwanchuoMbona mm inakaa sana tena na downloadia kabisa....wiki zinafika....mda mwngine inachukua siku 4/5. Nikuuzie?... Una elfu 8 nikupe?
Mkuu mi nataka hiyo laini ya vmwanchuoMbona mm inakaa sana tena na downloadia kabisa....wiki zinafika....mda mwngine inachukua siku 4/5. Nikuuzie?... Una elfu 8 nikupe?
Mkuu tuambie ttcl pana nn huko maana nimehamia uko kutoka tigo niliyoyakuta huko najuta kabisa maana hapa hapa dsm network yao shida kabisaMm nipo ttcl siku hizi
hamia TTCL 4G fresh social network bure kubrowse toka huko ulipo unapotea....!!!!Kuna hiki kifurushi cha chuo cha 500MB nashangaa huwa kinaisha fasta sijui ni cha kichina? Kinaisha fasta kwa kuperuzi tu bila hata kudownload chochote! Nyie mliowahi kukitumia mnakionaje?
TTCl shs 500 unapata 800mbhamia TTCL 4G fresh social network bure kubrowse toka huko ulipo unapotea....!!!!
Cku hiz wanaibia wateja na hiki kifurushi.Kuna hiki kifurushi cha chuo cha 500MB nashangaa huwa kinaisha fasta sijui ni cha kichina? Kinaisha fasta kwa kuperuzi tu bila hata kudownload chochote! Nyie mliowahi kukitumia mnakionaje?
Mko Wateja wangapiMm nipo ttcl siku hizi
Inategemea na browser unayotumia na mode ya data uliyoweka kwenye browser yako, unatumia browser gani?Kuna hiki kifurushi cha chuo cha 500MB nashangaa huwa kinaisha fasta sijui ni cha kichina? Kinaisha fasta kwa kuperuzi tu bila hata kudownload chochote! Nyie mliowahi kukitumia mnakionaje?
Mm nipo ttcl siku hizi