Kifungua kinywa

Pretty

JF-Expert Member
Mar 19, 2009
2,576
552
......Leo na mie nawaletea kifungua kinywa, ni rahisi sana kuandaa na vile vile ni healthy.
Unatakiwa kuwa na vitu vifuatavyo,
-mayai 2
-vijiko 2 vya maziwa ambayo ni fat free.
-vijiko 2 vya margarine
-slice 4 za mkate, vizuri zaidi ikiwa whole wheat bread.
-fresh apple,peaches au tunda lolote utakalolipenda.
-vijiko 2 vya sukari.

Jinsi ya kuandaa.
-Chukua mayai yako na maziwa changanya kwenye bakuli kubwa na yapige pige.
-Pasha moto skillet on medium heat.
-Ongeza vijiko 2 vya margarine kwenye skillet.
-chukua vipande vya mkate na uvitumbukize kwenye mchanganyiko wako wa mayai na maziwa.
-Pika kwa kila upande hadi iwe rangi ya brown.
-Osha matunda yako na uyakate kate
-chukua matunda na uweke juu ya toast yako.
-chukua sukari na isambaze.
Hapo frech toast with fruits itakuwa tayari kwa kuliwa.
-
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom