Kifo tunatembea nacho jamani, ilibaki kidogo tu...

Kama wewe ni mkristo basi okoka,
Kama ni islam basi jitahidi uludi kwa Allah,na uswali swala tano.
 
Mkuu pole sana shetani yupo kazini mda wote yatupasa kusali mda wote
 
Niaje... Jana nilikwenda ofisi fulani za serikali... Nikaambiwa niede ofisi ipo upande wa pli wa barabara...

Palikua na mfereji wa maji si mkubwa mdogo tu... Nikasema niruke..

Ile kuruka mguu ukafikia vibaya.. Nikaenda kupiga mweleka hadi katkt ya barabara... Land cruised mkonga iko spidi ikapigia breki kchwani bado inikanyage tu.....

Nikatafuta usafiri nikarudi home... Usiku mzma naotaota tu lile tukio
Pole sana mkuu.
 
Kwa Miguu ya kuku hiyo uliyonayo ule mfereji ni mkubwa kwako kuruka.

Usirudie.
 
Siku yako haikufika.....
Ulikataa rufaa kwa Israel....

Ova
 
Pole sana Mkuu. Mungu ni Mwema kwako.
Saa hizi humu ingekuwa ni Masikitiko tu na jumbe nyiingiii za R.I.P...!!
Niaje... Jana nilikwenda ofisi fulani za serikali... Nikaambiwa niede ofisi ipo upande wa pli wa barabara...

Palikua na mfereji wa maji si mkubwa mdogo tu... Nikasema niruke..

Ile kuruka mguu ukafikia vibaya.. Nikaenda kupiga mweleka hadi katkt ya barabara... Land cruised mkonga iko spidi ikapigia breki kchwani bado inikanyage tu.....

Nikatafuta usafiri nikarudi home... Usiku mzma naotaota tu lile tukio
 
Niaje... Jana nilikwenda ofisi fulani za serikali... Nikaambiwa niede ofisi ipo upande wa pli wa barabara...

Palikua na mfereji wa maji si mkubwa mdogo tu... Nikasema niruke..

Ile kuruka mguu ukafikia vibaya.. Nikaenda kupiga mweleka hadi katkt ya barabara... Land cruised mkonga iko spidi ikapigia breki kchwani bado inikanyage tu.....

Nikatafuta usafiri nikarudi home... Usiku mzma naotaota tu lile tukio
Ukiimaliza siku salama Ni Jambo la kumshukuru Mungu.
Kila siku unapopata kibali Cha kuwa mzima Ni Jambo la kumshukuru Mungu.

Niljifunza kumshukuru Mungu na nilijua umuhimu wa kuiona siku mpya siku nilipopata ajali ya gari...kwa hali ya kawaida ilikuwa si ya kupona.,ile gari ilinichakaza Hadi Leo mwili bado haupo sawa japo Ni miaka 7 Sasa imepita.ila kwa huruma za Mungu nikapona

Hii ilinifundisha kuona kila siku inayopita kwangu Ni zawadi Mungu amenipa
 
Niaje... Jana nilikwenda ofisi fulani za serikali... Nikaambiwa niede ofisi ipo upande wa pli wa barabara...
Palikua na mfereji wa maji si mkubwa mdogo tu... Nikasema niruke..
Ile kuruka mguu ukafikia vibaya.. Nikaenda kupiga mweleka hadi katkt ya barabara... Land cruised mkonga iko spidi ikapigia breki kchwani bado inikanyage tu.....
Nikatafuta usafiri nikarudi home... Usiku mzma naotaota tu lile tukio
MUNGU NI MWEMA WAKATI WOTE.
 
Back
Top Bottom