Kifo tunatembea nacho jamani, ilibaki kidogo tu...

Kifo tunatembea nacho jamani, ilibaki kidogo tu...

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]nacheka kama mazuri

Hahaha ajali mbaya sana...[emoji28][emoji28][emoji28]...nilipasuka vby sana...bt am thanking God nilisurvive!
Ajali ya boda..tuko kwenye mteremko mkali balaa break ikakata...nikagundua ..kuuliza hasemi..kitu kikawa kinakimbia sijapata ona...he ghafla anapiga kelele dada tunakufaa...mie huyooo nikaruka[emoji23][emoji23][emoji23]..nikafikia kichwa..paaah...nilisikia kichwa kimepasuka km nazi...!hahahaha...goti likachomokea pemben[emoji134][emoji134]..Dk alisema kwa mteremko ule ulijiongeza sana kuruka..coz tulikua tunaend uvamia mti mkubwa sana...weee!mpk leo siwez kupiga goti kwa dakika hata 2.
 
Aliniona ndio coz nilikuwa kama nimechanganyikiwa maisha haya bwana.... Aliona kabisa since nauagalia ule mfereji..... Akagues whats next[emoji16]
Una bahati haukuwa amelewa uyo dereva na alikuona muda
 
Duu, pole kiongozi. Mungu ni mwema Sana, ndo maana tunakumbushwa kumwomba Mungu kila siku kabla hatujaingia kwenye mihangaiko yetu
 
Pole sana Mkuu hii yako nimeshindwa kuitofautisha na ajali ya leo mto wami bus kugonga coaster na kubaki kipande cha nyuma ya coaster kuwa nje ya daraja ambalo lina Mamba na kiboko hatari kweli kifo tunatembea nacho kwa kweli...
 
Ungekufa kwa heshima mkuu land cruiser Mkonga?? Wenzako wanakufa kwakugongwa na mkokoteni
 
Kumbe ni wewe
Niaje... Jana nilikwenda ofisi fulani za serikali... Nikaambiwa niede ofisi ipo upande wa pli wa barabara...

Palikua na mfereji wa maji si mkubwa mdogo tu... Nikasema niruke..

Ile kuruka mguu ukafikia vibaya.. Nikaenda kupiga mweleka hadi katkt ya barabara... Land cruised mkonga iko spidi ikapigia breki kchwani bado inikanyage tu.....

Nikatafuta usafiri nikarudi home... Usiku mzma naotaota tu lile tukio
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom