Nilikua natembea ila kwa kuchechemea..
Niliumia Sana mguu chini kwenye joint ya kiganja na mguu wenyewe ..baadhi ya mishipa ilikatika..Ila Mungu mkubwa sikuvunjika
Ila ndani ya miez mitatu nilitembea kwa matako na kutambaa..baadaye nikaanza kutembea kwa kuruka kwa mguu mmoja..bdae nikaanza kuchechemea..nlivyoanza kuchechemea nikaendelea na shule.
Baada ya mwaka nilianza kutembea sawa Bila kuchechemea.
Kwenye kula ilikuwa kasheshe..mdomo haufunguki,macho yameziba,,siongei,sioni
Dawa zenyewe nkawa nakunywa kwa mrija.
Chakula changu kilikuwa juice..au uji mlaini Sana..nakunywa kwa mrija
Kuna kipindi ilifika katika kuruka ruka nikajigonga nikajibamiza chini..nkafikia ule ule mguu jamani [emoji23][emoji23]..iacheni ajali iitwe ajali
Mziki ulikuwa kwenye kusafisha vidonda..yaani unahisi dunia inafika mwisho
Yaani siku nakuja kula sikuamini,,taratibu nilianza kula ila meno yalikuwa yanakufa ganzi sana
Taratibu Mdomo ulianza kufunguka nikaanza kuongea ..
Ilikuwa ajali ya gari...katika kuvuka gari ilitoka Kasi ikawa inaovertake gari ingine.kwa hiyo ikaingia upande usio wake na Mimi nilikua mwishoni ukingoni kabisa...ikaja ikakwangua mguu ikanipiga ikanitupa nje maana nilikua karibia na mwisho
Hii tar 2/2/12 huwa siisahau maishani mwangu.
Toto la mama halafu bonge nyanya fulani kila kitu unachoongea nae lazima ampelekee mama report.Duuh umenishtua sana mi nlifikiri ulipanda Bodaboda ndo ukakuywa na madhira ya kugongwa au sijui umekutana na Simba porini huko. Kumbe ulifanya uzembe wa kuruka mfereji wakat wew ni mtot wa mama hujazoea iyo mambo. Kwani daraja la kuvukia hukuliona hadi uruke mfereji.
Kwa uzembe huu acha tu gari likukanyage ili Akili ikukae sawa
na wewe aisee ilikuwaje
Pole ManengeloHahaha ajali mbaya sana...😅😅😅...nilipasuka vby sana...bt am thanking God nilisurvive!
Ajali ya boda..tuko kwenye mteremko mkali balaa break ikakata...nikagundua ..kuuliza hasemi..kitu kikawa kinakimbia sijapata ona...he ghafla anapiga kelele dada tunakufaa...mie huyooo nikaruka😂😂😂..nikafikia kichwa..paaah...nilisikia kichwa kimepasuka km nazi...!hahahaha...goti likachomokea pemben🙆🙆..Dk alisema kwa mteremko ule ulijiongeza sana kuruka..coz tulikua tunaend uvamia mti mkubwa sana...weee!mpk leo siwez kupiga goti kwa dakika hata 2.
Duh poleeHahaha ajali mbaya sana...[emoji28][emoji28][emoji28]...nilipasuka vby sana...bt am thanking God nilisurvive!
Ajali ya boda..tuko kwenye mteremko mkali balaa break ikakata...nikagundua ..kuuliza hasemi..kitu kikawa kinakimbia sijapata ona...he ghafla anapiga kelele dada tunakufaa...mie huyooo nikaruka[emoji23][emoji23][emoji23]..nikafikia kichwa..paaah...nilisikia kichwa kimepasuka km nazi...!hahahaha...goti likachomokea pemben[emoji134][emoji134]..Dk alisema kwa mteremko ule ulijiongeza sana kuruka..coz tulikua tunaend uvamia mti mkubwa sana...weee!mpk leo siwez kupiga goti kwa dakika hata 2.
Duuh umenishtua sana mi nlifikiri ulipanda Bodaboda ndo ukakuywa na madhira ya kugongwa au sijui umekutana na Simba porini huko. Kumbe ulifanya uzembe wa kuruka mfereji wakat wew ni mtot wa mama hujazoea iyo mambo. Kwani daraja la kuvukia hukuliona hadi uruke mfereji.
Kwa uzembe huu acha tu gari likukanyage ili Akili ikukae sawa