Mpauko
R.I.P
- Jan 19, 2019
- 2,323
- 3,460
- Thread starter
- #41
Ni kweli inafaa kumshukuru sana mungu
Ukiimaliza siku salama Ni Jambo la kumshukuru Mungu.
Kila siku unapopata kibali Cha kuwa mzima Ni Jambo la kumshukuru Mungu.
Nilinifunza kumshukuru Mungu na nilijua umuhimu wa kuiona siku mpya siku nilipopata ajali ya gari...kwa hali ya kawaida ilikuwa si ya kupona..ila kwa huruma za Mungu nikapona
Hii ilinifundisha kuona kila siku inayopita kwangu Ni zawadi Mungu amenipa