warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,213
- 18,471
Dah uwa naumia sana nikifikiria kuhusu kifo,ivi kuna siku nitakufa na kuiacha dunia,ndugu,jamaa na marafiki??,nitaziacha raha zote na shida za duniani??,kweli nitakufa??,nitakufaje??,wapi?? Na lini??,mipango yangu yote itakufa??,haya yote ninayofanya ni bure??,kifo kinanisubiri??,mmh uwa naumia sana,pengine huwa sipendi kabisa kuwaza kuhusu kifo,ila siwezi kukikwepa,nitafanyaje???,je kuna maisha badala ya kifo??,tunaenda wapi tukifa??,kwa nini kifo??,nahitaji kuwa karibu na mungu wangu ili siku yangu ikifika,nipumzike kwa amani hadi siku ya mwisho tutakapoishi maisha ya milele mbinguni.maisha ni matamu sana,dunia ni tamu,japokuwa kuna magumu mengi na makwazo mengi,kuwa karibu na mungu ndio njia pekee ya kutunusuru na moto wa milele,tumkumbuke mungu na kufuata amri zake, amri ni kumi tu,ila ngumu kuzitekeleza zote,mimi ni mwanadamu kama wengine,siwezi acha kufanya dhambi,je nitaingia mbinguni??,nitaishije bila dhambi??,kila siku natenda dhambi,mungu nisaidie na uniongoze kwenye njia zilizo sahihi,peke yangu siwezi#turn to god...