ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 19,568
- 44,770
Nina swali kwenu ma great thinker mtu ukiwa umekufa unawaza hisia gani maana Kuna hali mbili najaribu kuzifikiria.hali ya Kwanza labda unakuwa Kama mtu asiye na macho kabisa ila roho yako inatupwa gizani maanake unakuwa unajihisi kbs Kama uzito wa roho upo ila ndo mwili hauna roho inaendelea tu kusafiri gizani au ukifa labda Kuna hali nyingine Kama mtu asiyehisi chochote kabisa yaani hisia zile za hakuna Kama ulivyokuwa bado hujazaliwa karne za nyuma huko?.