Hivi ninachoandika unasoma?
Ulifuatilia mjadala kuhusu "zama za giza" au unarukia tu kwa kuungaunga habari?
Unayekubali kuwepo kwa mungu kwa imani unaweza kuongelea "objectivity"?
Unaelewa kwamba imani na objectivity havichangamani?
Unajua kusoma na kuelewa kwa kituo?
Umeelewa nini kwa habari niliyosema kwamba kisichopo hakithibitishiki kwamba hakipo, na kilichopo tu ndicho kinathibitushika kwamba kipo?
Umeelewa nini nilipotoa mfano wa kusema polisi hawakuambii uthibitishe kwamba nyumba yako haina madawa ya kulevya, bali hutaka uthibitisho kwamba nyumba yako ina madawa ya kulevya?
Umeelewa nini nilipoandika kwamba mungu wenu hawezekaniki kuwepo, kama pembetatu duara isivyowezekanika kuwepo katika Euclidean geometry, kwa maana idea yake inajipinga yenyewe kabla mimi sijampinga kwa kukosa logical consistency?
Umeelewa nini?
Hata una uwezo wa kuelewa?
Ah wapi...sio magumu sema nasikia njaa kinoma.
Mkuu,naomba nijibu kwa niaba yake kama hutojaliNyani Ngabu said:Hayo chini ndo maswali niliyokuuliza.
Hujajibu hata moja!
Labda niiweke hivi,unaweza kuwa na Direct au indirect experience1]Kama huyo mungu tayari una tajiriba/ uzoefu naye, iweje tena uamini kwamba yupo?
Nafikiri nimekujibu vema hapo juu2]Sasa kama yupo kweli [kwa mujibu wa hiyo tajiriba/ uzoefu wako kwake na kwa maisha ya wengine], kwa nini unaamini, na si kujua, kwamba yupo?
3]Vilivyopo huwa vinaaminika au huwa vinajulikana kuwa vipo?
Umejitoa ufahamu!Okay. Uumbaji wa mwanadamu kuanzia mbegu mpaka mtoto anapokamilika. Mungu anahusika.
Bila shaka kama kuna mungu kama huyo, basi atakuwa mpumbavu sanaHujaelewa swali.
Swali ulilojibu si nililouliza.
Kabla watu kuwapo, alikuwapo mungu. Kwa mujibu wenu.
Swali langu linahusika na misimgi ya ulimwengu ilivyowekwa kabla ya watu kuwapo, huwezi kuwalaumu watu kwa matendo yao wakati mungu ndiye katia mipaka ya kipi kinawezekana na kipi hakiwezekani.
Pia, mnayemsema mungu anayeacha mabaya yatokee kwa watoto kwa sababu ya makosa ya wazazi, wakati ana uwezo wa kuzuia hayo, ni mungu kweli huyu? Ana upendo kweli huyu?
Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hakuumba ulimwengu ambao watoto wasio na hatia hawawezi kufa kwa ulevi wa mama zao?
Better yet, kwa nini hakuumba ulimwengu ambao ulevi hauwezekani?
Hakuweza kuumba ulimwengu huo?
Au aliweza hakutaka tu?
Kama hakuweza, ni kweli ana uwezo wote?
Kama aliweza, ila hakutaka tu, ni kweli ana upendo wote?
Bila shaka hapa sasa utaanza kujiuliza maswali kuhusu huu uongo uliotungwa na wachache tangu zamani hizooNgoja nitarudi
Nitarudi
Naenda kunywa chai akili ichaji vizuri....teh teh
Mambo ya Mungu ni complexHahahaa
Njaa mpenzi?,nimefatilia comments zako atleast,umejitahidi kujibu
sasa sijui hawa watu wanataka uthibitisho upi sasa?
HaisaidiiNimesikiliza watu wengi mtu akifa wanasema "Mungu amepanga". Uongo huu umepita kizazi hata kizazi ili tufarijike katiba misiba.
Ukweli ni huu, Mungu hapangi kifo cha mtu chini ya miaka 70. Mtu anayekufa akiwa na miaka zaidi ya 70 ni mapenzi ya Mungu.
Mungu hana kitabu ameandika aina ya kifo cha mtu chini ya miaka 70. Watu wanakufa kutokana na aina ya maisha wanayo ishi, mazingira wanayoishi na imani za kishetani.
Sasa wewe hapa sijui unataka nini. Mungu lazima angepanga tu. Na huo ndio mpango aliochagua.Nimekuuliza habari ya mungu alivyopanga, kabla watu hawajaumbwa.
Kwa nini mungu alipanga hivi na si vingine.
Utasemaje it is not up to god?
Una maana mungu hakuumba ulimwengu?
Kama aliumba, utasemaje kanuni alizotumia kuumba ulimwengu hatuwezi kuuliza kwa nini kaumba hivi na si vile?
Katika kukujibu naomba nikuulize tena....Hayo chini ndo maswali niliyokuuliza.
Hujajibu hata moja!
Ngoja nijaribu tena:
1]Kama huyo mungu tayari una tajiriba/ uzoefu naye, iweje tena uamini kwamba yupo?
2]Sasa kama yupo kweli [kwa mujibu wa hiyo tajiriba/ uzoefu wako kwake na kwa maisha ya wengine], kwa nini unaamini, na si kujua, kwamba yupo?
3]Vilivyopo huwa vinaaminika au huwa vinajulikana kuwa vipo?
4]Au hayo maneno 'kuamini na kujua' huwa yanatumika interchangeably?
Kisichopo hakithibitishiki kwa sababu hakipo ili kuthibitishwa."Umeelewa nini kwa habari niliyosema kwamba kisichopo hakithibitishiki kwamba hakipo, na kilichopo tu ndicho kinathibitushika kwamba kipo?"
Fafanua Kwa nini kisichopo hakithibitishwi? na unauthibitisho gani kisichopo hakithibitishiki?
Hujajibu swali. Umeliepuka tu.Sasa wewe hapa sijui unataka nini. Mungu lazima angepanga tu. Na huo ndio mpango aliochagua.
Amepanga hivi unasema kwa nini hakupanga vile. Na angepanga vile ungesema kwa nini hakupanga hivi.
Kusema it's not all up to God namaanisha kwamba Mungu na mwanadamu wote wana role ya kuplay ktk kuhakikisha kuwa mwanadamu anakuwa ktk ukamilifu wake.
Unaposema kwa nini Mungu aliumba dunia ambayo kifo kinawezekana, u are being illogical and unfair.
Kwanza kifo ni kizuri....kifo ni kitu cha asili. Bila kifo hata wewe pengine usingekuwepo...
Pili, huwezi kuishi irresponsibly ili mwisho wa siku umtupie Mungu lawama zote.
Hapo ndipo utaona hakuna mungu huyo.Bila shaka kama kuna mungu kama huyo, basi atakuwa mpumbavu sana
Umejuaje kwamba Mungu kaumba dunia yenye mabaya yote hayo? Nini kinakufanya usione kwamba Mungu kaumba dunia ambayo ni pure na hayo mabaya yametokana na complexity ya hii dunia?Hujajibu swali. Umeliepuka tu.
Kwa nini mungu kaumba dunia yenye mabaya, mateso, magonjwa, uonevu, ukatili etc wakati alikuwa na uwezo, ujuzi na upendo wa kuumba dunia ambayo yote hayo hayawezekani bila kujipunguzia chochote?
Unaongeaje habari za "huwezi kuishi irresponsibly" kwa mtoto anayekufa wakati wa kuzaliwa?
Huyo mtoto kaishi vipi irresponsibly?
Mkuu,naomba nijibu kwa niaba yake kama hutojali
Labda niiweke hivi,unaweza kuwa na Direct au indirect experience
Hajawahi kumuona Mungu,yeye ana indirect experience
Ili ujue kama kitu kipo
lazima uki-experience directly,otherwise bado utaendelea kuamini
Nafikiri nimekujibu vema hapo juu
Vinaweza kuaminika au kujulikana pia
Theoretically,tunaamini kuwa ulimwengu unatii cosmological principles
Yaani sheria za asili ni sawa ulimwengu mzima
Lakini hakuna anayejua
Je ulimwengu huo haupo,kwasababu ni wa kuaminika tu?
4.Mwisho,kujua na kuamini ni vitu viwili tofauti
Hujajibu swali. Umeliepuka tu.
Kwa nini mungu kaumba dunia yenye mabaya, mateso, magonjwa, uonevu, ukatili etc wakati alikuwa na uwezo, ujuzi na upendo wa kuumba dunia ambayo yote hayo hayawezekani bila kujipunguzia chochote?
Unaongeaje habari za "huwezi kuishi irresponsibly" kwa mtoto anayekufa wakati wa kuzaliwa?
Huyo mtoto kaishi vipi irresponsibly?
Umejuaje kwamba Mungu kaumba dunia yenye mabaya yote hayo? Nini kinakufanya usione kwamba Mungu kaumba dunia ambayo ni pure na hayo mabaya yametokana na complexity ya hii dunia?.
Kwa mfano vita vinasababishwa na ubinafsi na uchu wa madaraka wa binadamu. Sasa unataka kuniambia Mungu aliumba vita?.
Mtoto wa mtu akiwa changudoa utasema mzazi wake alizaa changudoa?.
Ukihitimisha hivyo utakuwa hutendi haki na utakuwa kinyume na falsafa yako ya kutumia logical reasoning.
Katika kukujibu naomba nikuulize tena....
Wewe unaamini au unajua kuwa kuna sayari inayoitwa jupiter?
Hujaelewa swali.Mungu hajaumba mabaya wala uovu
Bali uovu kauleta mwanadam baada ya kumuasi Mungu
Binadam kapewe fursa ya kuchagu[Free will]
Hivyo Mungu hawezi kuingilia uamuzi wake
Wewe msaidie tu kama unaona kalemewa.
Sawa. Hivi hujui Kiswahili cha 'experience'?
Okay....hiyo unayoiita indirect experience ndo nini? Waweza kunipa mifano?
Anhaa....kwa hiyo hajui basi kwamba mungu yupo bali anaamini kwamba mungu yupo, siyo?
Sidhani kama umenijibu vema. Umejitahidi kwa kiasi chako.
Okay....
Wewe kidogo naona unajua unachokisema.
Kama upo basi si wa kuaminika tena. Utakuwa ni wa kujulikana.
Kidogo naanza kupata imani na wewe kwamba walau unajua unachokisema.
Sasa unaweza kunipa tofauti ya kujua na kuamini, kwa maneno yako mwenyewe?