Kifo Chafichua Maumivu

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
13,183
Reaction score
25,842
Kilicho tokea leo ni kielelezo cha maumivu na manung'uniko ya watanzania..

Kifo cha mume wake mama Abduli kimegeuka kuwa ahueni ya wananchi.

Kuna namna ambayo watu wamekaa kimya mpaka nilikuwa nadhani labda ni nayehisi maumivu ya October 29, na kutekwa na mauaji ni mimi pekee ila leo kilicho toke na kinacho endelea kutokea ni direct expression ya pain.

Binafsi nimechukulia kama kama kifo kingine chochote na pole kwa familia. Ila expression na muitikio wa watanzania ni direct reflection ya maumivu yaliyo ndani yao kwa waliopotezwa bila hatia.

Je walengwa wanaliona hilo?
 
Walengwa hawezi kuona maana tayari vyeo na mamlaka vimewalevya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…