illmatic88
Member
- May 16, 2015
- 30
- 27
Napenda kujitambulisha kuwa mimi sio mwananchama wa chama chochote kile cha siasa kwa sababu sijaona chama ambacho kina yale ambayo mi nataka.
Tuje kwa point, Vyama vinavyounda umoja wa " Ukawa" vikiwa na Mgombea wao katika Ngazi ya Uraisi "EL" vimeamua kutake risk kwa kumsimamisha yule ambae walimpaka matope wao awe mgombe wao wa Raisi... Uzuri wa Uamuzi wa Ukawa ni kwamba wakishinda its a "Win Win" lakini wakishindwa inakuwa Total annihilation.
Mpaka sasa ni ukweli uliokuwa wazi kabisa kuwa ukawa wana ushawishi katika baadhi ya Majiji na sehemu za mjini, sehemu zilizobakia CCM ni dominant Figure kitu ambacho kitaifanya CCM ishinde hata bila goli la mkono .
Baada ya Ukawa kushindwa katika Ngazi ya Urais, itawawia vigumu sana kuwa na nguvu kubwa waliyokuwa nayo, sote tukijua Nguvu kubwa na ushawishi wa Chadema ilijengwa kutokana na agenda yao kupinga Ufisadi, ila kutokana na Moja ya watuhumiwa maarufu zaidi ya Ufisadi kujiunga nao hawatakuwa na jipya kuhusiana na Ufisadi wao Pamoja na vyama vingine vya UKAWA...
Upinzani utakuja kurudi kwenye nguvu yake kama tu vile vyama ambavyo havikuwa na Nguvu hivi sasa vitaonyesha kuwa vinaweza kuleta mabadiliko ya ukweli ambayo yataweza kuitikisa CCM.