Kifo cha Sumari: JK atuma salamu za rambirambi

Yaaani hizi angejitumia yeye mwenyewe kama mwenyekiti wa chama...ndo tabu hii watu wagonjwa bado tu mnatiamajitiamaji kuwasimamisha wagombee..haya sana mnaleta uchaguzi usio hata wa lazima..muwe mnapima wagombea afya kama wanavofanya timu za mpira ulaya..

Mimi na subiri kauli ya tendwa kuhusu gharama za uchaguzi.
 
hili swali halihitaji kuwauliza Great Thinkers, hata mama yako anaweza kukupa jibu nzuri tu!

umeona ee!ntamuuliza dada yako usiku tukimaliza cha kwanza,hope analielewa vizuri.halafu atampa mke wa mushumbusi maelezo akupe na wewe kwa faida ya siku ingine.
 
Mungu ailaze roho ya marehemu sumari mahala pema peponi.tutamkumbuka kwa ukarimu wake,upendo na utumishi wake mwema akiwa mbunge na naibu waziri wa fedha.
 
Umekufa kifo cha mateso, pumzika kwa amani ndg Sumari.
 
sasa anatuma salam za pole kwa spika, mbona nasikia alikuwa bado hajala kiapo?

nazani unausingizi mkubwa wa fikra,unataka aapishwe mala ngapi?
wewe unazani kuapishwa unaibu waziri au uwaziri mpaka wewe ujue?
fara mkubwa!
 
Maoni ya watu huku ndani yanasikitisha sana jamani, yanaonyesha ufinyu wa fikra, ukosefu wa heshima na ulimbukeni, kumbukeni suala la msiba silo la kufanyia masihara Leo ni familia ya Sumari kesho ni kwa Familia yako, suala la kwamba alikuwa mwana CCM lisikufanye upoteze utu wako, watu huwa wanaweka tofauti pembeni wakati wa matatizo, hebu jaribuni kuonyesha heshima hata kwa familia yake tu jamani, inaumiza sana watu kufanya utani wakati wenzao(wanafamilia) wanaomboleza.Wakati mwingine unaweza ikingia JF ikakuaribia siku yako nzima.
 
Back
Top Bottom