kwanza huyu baba wa lulu naye awe na hekima ni baba gani anashindwa kumpeleka binti yake shule akapate elimu? Eti alitegeme kanumba ndio awe mwalimu wake wa kumfunza!!!kumfunza nini? Wewe umemtelekeza mtoto kajiamulia kujilea mwenyewe nahiyo ndio ajira na matunda aliyovuna ndio hayo.
Pili kanumba hakufa na kifo cha aibu!hii inaweza kutokea kwa mtu yeyote yule kanumba sio wa kwanza yeye kuwa na urafiki na lulu je na huyo muheshimiwa aliyekuwa anampigia simu usiku ule tusemeje? Kwa kifupi huyu mtoto hakuwa na malezi mazuri.
Baba aache kushangaa na kumlaumu kanumba.
Nawasilisha