Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

kwanza huyu baba wa lulu naye awe na hekima ni baba gani anashindwa kumpeleka binti yake shule akapate elimu? Eti alitegeme kanumba ndio awe mwalimu wake wa kumfunza!!!kumfunza nini? Wewe umemtelekeza mtoto kajiamulia kujilea mwenyewe nahiyo ndio ajira na matunda aliyovuna ndio hayo.

Pili kanumba hakufa na kifo cha aibu!hii inaweza kutokea kwa mtu yeyote yule kanumba sio wa kwanza yeye kuwa na urafiki na lulu je na huyo muheshimiwa aliyekuwa anampigia simu usiku ule tusemeje? Kwa kifupi huyu mtoto hakuwa na malezi mazuri.

Baba aache kushangaa na kumlaumu kanumba.

Nawasilisha
 
Mbona hata wangeandika "BABA YAKE KANUMBA ATUMA UJUMBE WA WATU WATATU!" ingeuza tu jamani. mi nasoma jf, haya magazeti yana ajenda na gavana wa benki kuu ya home kwangu.
 
jamani hawakuw wameshaanza kuduu, kwani binti ni mdogo sana hata hapa si unamuona?
 
Watanzania tuna tabia ya kuharalisha mambo inapotokea muhusika ni kipenzi chetu na amekumbwa na mauti....ki- ukweli Marehemu Kanumba alikuwa mbakaji (ni binti wa miaka 17)!!
Baba wa Lulu anasema anamfahamu marehemu Kanumba kama Mwalimu...kumbe alikuwa ana-mbaka bintie...lol
 
tusimhukumu kanumba huyu binti ni muongo sana hata polisi aliwadanganya umri anasema ana miaka 18 ili aonekane ni mkubwa kisheria!inawezekana kabisa alimdanganya hata umri kanumba,ikiwa alikuwa anaendesha na gari na leseni anayo alikwezaje kuipata hii leseni kama hakudanganya umri,yaani ana mengi ya kujibu atakayoyaibua yeye mwenyewe!
 
...japo alimchukua akiwa mdogo sana. Yawezekana pia SK alikadanganya, akachukua advantage ya udogo wake.
 
Mzee wa Lulu aone aibu mtoto kamharibikia harafu anashangaa nini? ina maana hukujua mienendo ya binti yako? Saa sita usiku alikuwa anafundishwa nini na huyo Mwalimu? Mzee Lulu, eti ulidhani mwalimu?? aibu kubwa.

Wazazi mnawatenga watoto kiana harafu baadaye mnajifanya hamnazo, picha za ngono kwenye mtandao hujaziona za mwanao, hujui nini? Kwenu mtoto under 18 anapiga picha za uchi anaweka kwa mtandao, harafu unashangaa kuwa na mabwana?? acha kuzuga heri ukae kimya unaweza kuonekana unaakili kidogo, mtoto ni mchafu sana ndo maana yanamkuta machafu, amini usiami;
 
tusimhukumu kanumba huyu binti ni muongo sana hata polisi aliwadanganya umri anasema ana miaka 18 ili aonekane ni mkubwa kisheria!inawezekana kabisa alimdanganya hata umri kanumba,ikiwa alikuwa anaendesha na gari na leseni anayo alikwezaje kuipata hii leseni kama hakudanganya umri,yaani ana mengi ya kujibu atakayoyaibua yeye mwenyewe!

Hatumlaumu Kanumba pekee.....ila nae ana nafasi ya kulaumiwa, anamjua mtoto yule tokea akiwa cheke chea, pengine na umri wake wa ki-ukweli...Mwalimu kula mwanafunzi wake ni KOSA KUBWA.... Wazazi wanajua mwanao anaenda fundishwa sanaa kumbe KULIWA......

Mzee wa Lulu aone aibu mtoto kamharibikia harafu anashangaa nini? ina maana hukujua mienendo ya binti yako? Saa sita usiku alikuwa anafundishwa nini na huyo Mwalimu? Mzee Lulu, eti ulidhani mwalimu?? aibu kubwa.

Wazazi mnawatenga watoto kiana harafu baadaye mnajifanya hamnazo, picha za ngono kwenye mtandao hujaziona za mwanao, hujui nini? Kwenu mtoto under 18 anapiga picha za uchi anaweka kwa mtandao, harafu unashangaa kuwa na mabwana?? acha kuzuga heri ukae kimya unaweza kuonekana unaakili kidogo, mtoto ni mchafu sana ndo maana yanamkuta machafu, amini usiami;

Jamani kama LULU anaonekana na tabia mbaya....wakulaumiwa nani sasa hapo, kama Mwalimu mkuu ndo ana KULA MAMBO badala ya kufundisha???
Picha za utupu mbona ndiyo kazi za sanaa za bongo...na anafundishwa na hao hao walimu...baadae WANA-MLA...lol
 
Watanzania tuna tabia ya kuharalisha mambo inapotokea muhusika ni kipenzi chetu na amekumbwa na mauti....ki- ukweli Marehemu Kanumba alikuwa mbakaji (ni binti wa miaka 17)!!
Baba wa Lulu anasema anamfahamu marehemu Kanumba kama Mwalimu...kumbe alikuwa ana-mbaka bintie...lol
[/QUOT
pamoja sana
 
Mzee wa Lulu aone aibu
mtoto kamharibikia harafu anashangaa nini? ina maana hukujua mienendo
ya binti yako? Saa sita usiku alikuwa anafundishwa nini na huyo Mwalimu?
Mzee Lulu, eti ulidhani mwalimu?? aibu kubwa.

Wazazi mnawatenga watoto kiana harafu baadaye mnajifanya hamnazo, picha
za ngono kwenye mtandao hujaziona za mwanao, hujui nini? Kwenu mtoto
under 18 anapiga picha za uchi anaweka kwa mtandao, harafu unashangaa
kuwa na mabwana?? acha kuzuga heri ukae kimya unaweza kuonekana unaakili
kidogo, mtoto ni mchafu sana ndo maana yanamkuta machafu, amini
usiami;

Ameomba kuonana Jk ampe siri nzito na kujadili kurekebisha mienendo ya watoto.
 
Back
Top Bottom