Kifo cha Sokoine: Tujiondoe jela ya kifikra

Kifo cha Sokoine: Tujiondoe jela ya kifikra

Afadhali ulivyouleta wewe huu uzi Mr. Davesto, angeuleta Mohammed Said angeambiwa mdini na mchochezi. That was the true picture of Mwalimu Nyerere. Ambayo inatufikirisha namna ya viongozi tulionao hata leo hii
Baada ya kimya kirefu Asante ndugu yangu.
 
Nitauliza hivi
Kwa nini sokoine alipewa nafas ya kwenda kusoma akampisha salumu then akarudi tena kama alikuwa shubir kwa utawala wake? Au alianza kuwa shubir wakat wa awam ya pili ya uwazir mkuu wake
Achana na takataka hii mkuu..
Hawezi jibu hilo swali..

Mtu mwenye akili timamu lazima ujiulize, aliyajuaje hayo maongezi ya Mwalimu Nyerere na Samora.?

Yeye aliadithiwa na nani.? Samora au Mwalimu mwenyewe.??

Eti alikuwa na Shati Mbili,Suruali mbili na viatu pair mbili..
Mie nimeziona picha za sokoine akiwa amevaa kama nguo 4 tofauti..

Watu kama hawa huwa wanakuwa wanapitia maisha magumu sana na bahati mbaya hawana wa kumlaumu hivyo wanaanza kumchukia nyerere kwa kujisemea "kwanini alileta uhuru wakati sahivi Tanzania ingekuwa kama Ulaya"..
 
Achana na takataka hii mkuu..
Hawezi jibu hilo swali..

Mtu mwenye akili timamu lazima ujiulize, aliyajuaje hayo maongezi ya Mwalimu Nyerere na Samora.?

Yeye aliadithiwa na nani.? Samora au Mwalimu mwenyewe.??

Eti alikuwa na Shati Mbili,Suruali mbili na viatu pair mbili..
Mie nimeziona picha za sokoine akiwa amevaa kama nguo 4 tofauti..

Watu kama hawa huwa wanakuwa wanapitia maisha magumu sana na bahati mbaya hawana wa kumlaumu hivyo wanaanza kumchukia nyerere kwa kujisemea "kwanini alileta uhuru wakati sahivi Tanzania ingekuwa kama Ulaya"..

Shati mbili na suruali mbili ni maneno yaliotamkwa hadharani wakati wa kifo cha Sokoine,na Raisi Julius K.Nyerere.
Ni kweli Mwalimu Nyerere alianza kunywea alipohitisha press conference update ya vita vya hujumu uchumi,walimuuuliza kwanini amemtoa mahabusi rafiki yake mpendwa Edward Barongo aliekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro alikutwa na fedha sh za Kitanzania laki saba.
Nae Nyerere aliwajibu kwani mnashangaa kuwa na laki saba nyumbani?Lakini press hawakulidhika wakamuuliza kuwa haoni kwamba anafanya upendeleo wakati wapo waliosweka ndani kwa pesa kidogo tu?Wakati wa press conference Sokoine alikuwepo.
Wananchi walikuwa na hasira kubwa wakiwalenga Nyerere,Kawawa,kama ndio baba wa malezi wa maovu nchini hadi nchi kufilizika kabisa.Lakini Nyerere kwa kuwatuliza alimchagua mtu aliekuwa anapendwa sana kuchukua nafasi ya Sokoine nae si mwingine bali ni Dr Salim M Salim,uteuzi huo ulipunguza sana hasira za wananchi.
Dr.Shaba aliemfanyia postmortem mwili wa Sokoine ndie anajua nini kilisababisha kifo.
Lakini pia Edward Lowassa he knows too much about Sokoine,na yawezekana wana hofu ya kulipiza kisasi ndio labda chanzo cha kukata jina lake kila anapotaka kugombea uraisi.
 
Achana na takataka hii mkuu..
Hawezi jibu hilo swali..

Mtu mwenye akili timamu lazima ujiulize, aliyajuaje hayo maongezi ya Mwalimu Nyerere na Samora.?

Yeye aliadithiwa na nani.? Samora au Mwalimu mwenyewe.??

Eti alikuwa na Shati Mbili,Suruali mbili na viatu pair mbili..
Mie nimeziona picha za sokoine akiwa amevaa kama nguo 4 tofauti..

Watu kama hawa huwa wanakuwa wanapitia maisha magumu sana na bahati mbaya hawana wa kumlaumu hivyo wanaanza kumchukia nyerere kwa kujisemea "kwanini alileta uhuru wakati sahivi Tanzania ingekuwa kama Ulaya"..
Mwandishi muongo huyu .... Kama hajui kuwa Kolimba alikufa 1996 na siyo 1993, tumuamini vipi kuhusu data za ndani za conversation ya watu wawili (Mwalimu na Samora). Hii ni theory yake tu .... siyo ukweli wenyewe!!
 
Anamtaja horace kolimba kama mkuu wa mkoa wa morogoro wakati sokoine anafariki,kitu ambacho ni uongo mkubwa..kolimba alikuwa msaidizi wa waziri mkuu.
 
IMG_2320.JPG
 
Sijui chanzo cha hizi taarifa zako. Nimeshangazwa uliposema “Nyerere alimlalamikia Samora Machel kuhusu Sokoine”, lakini hapo hapo, yule Dumisani Dube, msouth Africa aliyekuwa kwenye kambi ya ukimbizi sambamba na wako mbuzi wengine wa FRELIMO, chama cha kupigania uhuru kilichokuwa kikiongozwa na Samora Machel mwenyewe...

Inanifanya nijiulize kama Samora Machel alipanga ili kumsaidia rafiki yake wa karibu. Again, this is just an assumption, provided these news are true!

Kama hakuamuwa tu kumsaidia, basi aliombwa.
We Jamaa una akili sana
 
Naomba kujua kwa wale wenye kumbukumbu, kipindi Mh Moringe Sokoine anakufa kwenye ajali ya gari Mh Bernard Camilius Membe alisha anza kuitumikia Taasisi yetu nyeti ya Usalama wa Taifa(TISS)?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mm nahisi hivyo.Taarifa ya kifo chake ilitolewa kwenye taarifa ya habar ya saa 7 mchana RTD.Enzi hizo tulikuwa tunaenda shule Msingi mnarudi nyumbani lunch saa 6 mchana na kurudi darasani saa 8 mchana.Tulikuwa lunch nakumbuka ndipo habari zakasambaa,wenye redio walikuwa wa kuhesabu!
Umeandika uongo mwiiingi sana sifahamu hata ni kwa nia gani. Anyway, asilimia tisini na tano ya bandiko lako ni uongo mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilipochungulia hapo kwenye ''Nyerere atangaza kifo" nikaona huyu jamaa ni muongo wala sijaendelea kusoma post yake, Ingawa nilikuwa dogo wa darasa la nne wakati ule lakini ile situation bado naikumbuka, Kwanza Nyerere hakutangaza kupitia taarifa ya habari ya saa kumi, bali vipindi vilikata ghafla na wimbo wa Taifa ukapigwa kisha mwalimu akatangaza kwa sauti nyonge na tulivu,tena haikuwa maneno mengi kama alivyoandika huyu muongo....nayakumbuka na ntanukuu;
"NDUGU WANANCHI, LEO MNAMO SAA SABA NA NUSU MCHANA, NDUGU YETU NA KIJANA WETU EDWARD MORINGE SOKOINE,WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, ALIPOKUWA SAFARINI TOKA DODOMA KUJA DAR ES SALAAM, GARI YAKE ILIPATA AJALI (kisha akasita kidogo) NA AMEFARIKI DUNIA." Baada ya hapo ikawa ni mfululizo wa nyimbo za kijeshi na siku zilizofuata wakichanganya na nyimbo za kwaya za kanisa. Ingawa sikumbuki exactly ilikuwa saa ngapi lakini haikuwa saa kumi kwani nakumbuka ndio kwanza nilikuwa nimetoka shule na shule zetu wakati ule kwa darasa kama hilo mimi nikichelewa saaana nilikuwa naingia home saa tisa kwani shule na home ilikuwa kama mita 500 hivi.
Nakumbuka siku hiyo kulikuwa na game ya Tambaza na Azania pale muhimbili primary, game haikufanyika, so ilikuwa saa kumi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye hili la huyu mzungu, kuna uzushi mwingi wa kila aina, uzushi mwingine sio wa kuuamini hata kidogo mfano leo nimeelezwa uzushi kwa hear say kuwa aliyemponza Sokoine ni Steyn!. Wakati wa Sokoine akiwa PM walielewana sana na mashamba yake yako Monduli.

Huyu mzungu ndie alijenga ule uwanja wa ndege wa Arusha kwa ajili ya ndege zake 4 na ndege nyingine 3 alikuwa amekodisha kutoka Kenya.

Serikali ikamweleza kuwa uwanja huo pia lazima utumiwe na ndege nyingine, hivyo ndege nyingine zikawa zinautumia uwanja wake.

Steyn akagundua hizo ndege nyingine zinabeba nyara za serikali zikiwemo pembe za ndovu.

Akamtafuta Sokoine amwambie kuhusu uharamia huo, akaambiwa Sokoine ameenda masomoni nje ya nchi. Akashauriwa akaripoti kwa DG wa Tiss kuhusu uharamia wa kutoroshwa nyara na mali asili zetu.

Kumbe kule kuripoti ilikuwa kosa kubwa. Kumbe ile biashara ya nyara ilikuwa ni biashara ya watu.
Tiss na hao watu wakamgeuzia kibao Steyn, wakamfix kwa kukakodi ndege yake, wakaibebesha mzigo wa nyara za kushiba, kisha wakamripoti kwa Nyerere, na kumchomea polisi, ndege ikashikwa na mzigo wa nyara za kushiba, Steyn akakamatwa ready handed, akatiwa ndani na mali zake zote zikataifishwa huku yeye akiozea jela alipigwa kifungo cha miaka 30 fasta kwa ushahidi wa aliyekutwa na ngozi ndiye aliyekula nyama.

Sokoine alipomaliza masomo akarejea nchini na kuendelea na u PM wake. Ndipo akamtafuta rafikie Steyn na kuambiwa kilichomsibu, anaozea jela mvua 30!.

Sokoine akalivalia njuga hili suala, kuhakikisha haki inatendeka, akakusanya nondo zote akaziwasilisha kwa Mwalimu in person, baada ya Mwalimu Nyerere kuupata ukweli, akamuekeza Sokoine alishughulikie liishe na wahusika cha moto watakipata, Nyerere akawaita wahusika, wa Wizara na Magereza akatoa amri Mzungu aachiwe na mali zake arudishiwe na afidiwe.

Kufuatia amri hiyo kweli Mzungu aliachiwa ila kabla hajarudishiwa mali zake, masikini Sokoine ndio kikamkuta cha kumkuta, Sokoine akapata ajali ya gari akitokea Dodoma na kufariki papo hapo!. (Kuna minong'ono ya mwili wa Sokoine kukutwa na majeraha ya mambo fulani).

Baada ya kifo cha Sokoine jamaa alipigwa PI, everything he owns was confiscated, ndipo jamaa akafungua shauri na kushinda.

Awamu ya Mkapa na ya JK walilipa, ni kama wamekaribia kabisa kumaliza deni, na awamu hii pia ilipoingia walilipa kidogo ndipo baadae mambo ya kujimwambafy yakaibuka, wakagoma kulipa wakakata rufaa, rufaa ikatupwa, wakampa PI nyingine na kugoma kulipa jumla.

Kabla haijafungwa shauri South, aliandika barua 4, jamaa wakampuuza, sasa haya ndio matokeo.

Kwenye hili tuiombe serikali yenu iwe very transparent kwa kuueleza ukweli bayana ili kuzuia uzushi kama huu kuenea na kuaminika.

P.
 
Leo nimeelezwa aliyemponza Sokoine ni Steyn!. Wakati wa Sokoine akiwa PM walielewana sana na mashamba yake yako Monduli.

Huyu mzungu ndie alijenga ule uwanja wa ndege wa Arusha kwa ajili ya ndege zake 4 na ndege nyingine 3 alikuwa amekodisha kutoka Kenya.

Serikali ikamweleza kuwa uwanja huo pia lazima utumiwe na ndege nyingine, hivyo ndege nyingine zikawa zinautumia uwanja wake.

Steyn akagundua hizo ndege nyingine zinabeba nyara za serikali zikiwemo pembe za ndovu.

Akamtafuta Sokoine amwambie akaambiwa ameenda masomoni nje ya nchi. Anashauriwa akaripoti kwa DG wa Tiss kuhusu uharamia wa kutoroshwa nyara na mali asili zetu.

Kumbe ile ilikuwa ni biashara ya akina fulani.
Tiss na hao akina fulani wakamgeuzia kibao Steyn, wakakodi ndege yake, wakaibebesha mzigo wa nyara za kushiba, kisha wakamripoti kwa Nyerere, na kumchomea polisi, ndege ikashikwa, mzigo ukashikwa, akakamatwa ready handed, akatiwa ndani na mali zake zote zikataifishwa huku yeye akiozea jela alipigwa kifungo cha miaka 30 fasta kwa ushahidi wa aliyekutwa na ngozi ndiye aliyekula nyama.

Sokoine alipomaliza masomo akarejea nchini na kuendelea na u PM wake. Ndipo akamtafuta Steyn na kuambiwa kilichomsibu,

Sokoine akalivalia njuga hili suala, kuhakikisha haki inatendeka, akakusanya nondo zote akaziwasilisha kwa Mwalimu in person, baada ya mwendo Nyerere kuupata ukweli, akamuekeza Sokoine alishughulikie liushe, akawaita wahusika, akatoa amri aachiwe na mali zake arudishiwe na afidiwe.

Kufuatia amri hiyo kweli Mzungu aliachiwa ila kabla hajarudishiwa, jamaa wakaamua Sokoine has to go first.

Baada ya Sokoine kuondoka, jamaa alipigwa PI, everything he owns was confiscated, ndipo jamaa akafungua shauri na kushinda.

Awamu ya JK walilipa, Mzee Baba alipoingia wakagoma kulipa wakakata rufaa, rufaa ikatupwa, wakampa PI nyingine na kugoma kulipa.

Kabla haijafungwa shauri South, aliandika barua 4, jamaa wakampuuza, sasa haya ndio matokeo.

P
This is eye opener. Ila sijui kama hii backround akina Prof Kabudi na Jiwe wanayo. Laiti wangekuwa wasingempa PNG huyu Steyn. Sasa naelewa kwa nini alisema anajali sana kuhusu "flora and fauna" ya kule Monduli kwenye email yake kwa Kabudi inayozunguka kwenye mitandao ya jamii. Huyu mtu ni mzalendo kuliko hata hawa akina Jiwe wanaohubiri uzalendo.

Kongole kwako PASKALI
 
Back
Top Bottom