kifo cha shekhe, kazi ya Mungu

kifo cha shekhe, kazi ya Mungu

Jumakidogo

R I P
Joined
Jul 16, 2009
Posts
1,851
Reaction score
427
p { margin-bottom: 0.08in; } Wengi wanasema maneno mabaya baada ya kifo cha shekhe Yahaya, ikumbukwe kuwa pamoja na maisha yake katika utabiri lakini alikuwa ni kiumbe wa Mungu ambaye ilikuwa ni lazima afe siku zake zikifika. Sasa zimefika na amekufa kifo cha kawaida kwa amri ya Mungu. Hakuna kati yetu binadamu mwenye haki ya kumuhukumu mwenzake kwa jinsi yoyote. Hata manabii na mitume nao walikufaa pia. Walokole hujifanya wao wako juu zaidi ya binadamu wenzao lakini ipo siku nao wao watakufa kama wafavyo binadamu wote wengine. Wengi waametoa maoni ya kaashfa katika mtandao baada yaaaa kifo cha mnajimu huyo. Wamesahau kuwa anayehukumu ni Mungu pekee.
 
nyie cdm acheni unafiki humu jamvini mnapaka shehe yahay wakati huohuo viongozi wenu kitaifa wanamfagilia marehemu kwa kazi nzuri aliyokuwa anafanya namnuku zitto
 
Back
Top Bottom