kifo cha shekhe, kazi ya Mungu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kifo cha shekhe, kazi ya Mungu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jumakidogo, May 21, 2011.

 1. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #1
  May 21, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  p { margin-bottom: 0.08in; } Wengi wanasema maneno mabaya baada ya kifo cha shekhe Yahaya, ikumbukwe kuwa pamoja na maisha yake katika utabiri lakini alikuwa ni kiumbe wa Mungu ambaye ilikuwa ni lazima afe siku zake zikifika. Sasa zimefika na amekufa kifo cha kawaida kwa amri ya Mungu. Hakuna kati yetu binadamu mwenye haki ya kumuhukumu mwenzake kwa jinsi yoyote. Hata manabii na mitume nao walikufaa pia. Walokole hujifanya wao wako juu zaidi ya binadamu wenzao lakini ipo siku nao wao watakufa kama wafavyo binadamu wote wengine. Wengi waametoa maoni ya kaashfa katika mtandao baada yaaaa kifo cha mnajimu huyo. Wamesahau kuwa anayehukumu ni Mungu pekee.
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kikombe cha babu hakikumsaidie! RIP sheikh YAHAYA
   
 3. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  yule alikuwa mtu mbaya sana alikuwa mwakilishi wa shetani hapa tanzania
   
 4. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Ni kweli alikuwa anatumia ARV?
   
 5. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,562
  Likes Received: 1,072
  Trophy Points: 280
  Ni upi ubaya wake?
   
 6. s

  shosti JF-Expert Member

  #6
  May 21, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  nadhani kafa kawaida nilitamani adhalilike ili iwe fundisho kwa wenye tabia kama yake
   
 7. f

  fikiriakwanza Member

  #7
  May 21, 2011
  Joined: May 11, 2011
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mungu si mwanadamu hata afanye kama utakavyo wewe
   
 8. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #8
  May 21, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,375
  Likes Received: 3,138
  Trophy Points: 280
  Alikuwa mnafikin kwa kuwapotosha na kuwatisha watz kuwa watakufa......alikuwa mnafiki kwa kuwatangazia watz kuwa yeye ni jini kwa hiyo anamlinda kikwete kwa majini............alimdharau hata mungu ndiyo maana alitakiwa kuokoka kwani alijifanya yeye mungu kuwa na uwezo wa kujua wakati wa watu kufa wakati huohuo hakuweza kujitabiria mwenyewe.............
  Mtu mbaya kweli yule


   
Loading...