rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 18,115
- 25,811
Nyerere mpaka kufikia nchi inapata uhuru alisaidiwa sana na waislam, waislqm ninaowazungumzia sio hawa wanaoneza chuki bali wale wanaofata dini haswa.
Kama waislam hao wangekuwa na mtazamo kama wako ama tungechelewa kupata uhuru au tungekuwa nchi yenye vurugu.
Kwa sababu ilikulia pwani unaamini nchi hii bila waislamu haiwezekani wakina sheikh Ramiya wangekuwepo leo wangekuchapa viboko baada ya kusikia mawazo yako ya chuki dhidi ya dini nyingine.
Nyerere alitaifisha shule nyingi ambazo zilikiwa zinamilikiwa na wakiristo ili kupndpa hofu ya wazazi wa kioslamu ambao waliamini watoto wao wangeenda kusoma huko wangebadilishwa dini.
Waliofaidika na nyumba za NHC wengi ni waislamu kwa sababu mradi uliwakuta na wengi waliuza.
Maeneo mengi ya Dar es salaam yalikuwa yakimilikiwa na waislamu lakini wameuza kupitia maeneo hayo mngeweza kukenga shule, mahospital na kufanya mambo mengi ya maendeleo.
Kwa umri wako ungeacha kuhubiri chuki.
Wakati nasoma Iringa nilikuwa rafiki na watoto wa shehe wa mkoa lakini nilikiwa nikienda kwao walikuwa wananichikulia kama mtoto wa familia na hakuwaho hata siku moja kuhubiri chuki dhidi ya dini nyingine na pia nimeisho na waislamu wengo tukishorikiana kwa shida na raha .