Kifo cha Mwangosi: CHADEMA wamtaka Kikwete kuchukua hatua

tamko hili ni kama limetolewa na zomba, mnyika umeanza kupokea rushwa? list ya watu wa kuwajibika ndio imeishia kwa dagaa tu?

Culprit Number one is Emanuel Nchimbi, toka ameingia wizara hii maasi ya polisi kwa raia yamezidi mara dufu. Inaonekana amepewa wizara kwa kazi maalum ya ukada wa CCM na kujikuta anawalazimisha polisi kutenda kazi kinyume na maadili yao.
 
Mkurugenzi wa habari na uenezi (CHADEMA) John Mnyika leo akiongea na waandishi wahabari katika ofisi ya chama, amemtaka Kikwete kuchukua hatua za haraka kwa wahusika kwa kumpiga na bomu la machozi mwandishi wa habari Mwangosi hadi kumpelekea kupoteza maisha.

Pili amemtaka kumsimamisha kazi Paul Chagonja na RPC (Iringa) Kamuhanda kusimamishwa kazi wakati uchunguzi unaendelea.

Tatu alitaka uchunguzi ufanyike wa kujua kifo cha Mwangosi ni shinikizo kutoka kwa nani?

Kuhusu wahusika wa mauaji anasema kuwa tayari wanajulikana huku akionesha picha gazeti la jana la mwananchi wakati polisi nane wakimsulubu Mwangosi. hao ambao wameonekana kwenye picha ndio wa kwanza wanapaswa kukamatwa, sababu hata wao polisi wakati raia ameuawa huwa wanaanza na wale watu walikua karibu na tukio.

Kwa maana hiyo polisi nane wanapaswa kuwa wa kwanza kukamatwa.

source ITV- habari za saa.

Tunaomba Baba riz aondoke atuachie taifa letu la kiistarabu!
 
Nimesema labda kwa sababu ni kawaida yake kutokuchukua hatua sasa najipa tumaini dogo kuwa huenda this time akafanya ambacho wengi wangependa afanye.

Ni kweli, kawaida ana namna yake ya kuwa patince na situation hadi yenyewe IPITE! Sidhani wakati huu huo mtindo unaweza kufaa ... Issue ilivyokuja hakika vema aseme kitu ...!!
 
Culprit Number one is Emanuel Nchimbi, toka ameingia wizara hii maasi ya polisi kwa raia yamezidi mara dufu. Inaonekana amepewa wizara kwa kazi maalum ya ukada wa CCM na kujikuta anawalazimisha polisi kutenda kazi kinyume na maadili yao.

mkuu nimeshangazwa sana kwa tamko la mnyika or may be mleta thread hakureport vizuri tamko, sasa ni wakati wa kuifumua ile safu ya uongozi kutoka kwa waziri mpaka ngazi ya wilaya.. hili ni moja tu kati ya matukio 100 ya aibu yanayofanywa na maafande. Kitengo cha drugs ndio kimeoza kinanuka, madawa sasa hivi yanauzwa nje nje na baadhi ya maafande ndio vinara wa usambazaji na wanapewa backup kutoka safu ya juu (gazeti la mwananchi)..
kazi kubwa ya jk kwa sasa ni kuirudisha imani ya wananchi kwa jeshi hili maana sasa hivi hata mimi nikimuona afande huwa nabadili njia kwakweli
 
Mkuu wa kaya kama haya matukio huwa anakaa chini na kuyatafakari basi ni moja wa marais walio kwenye stress kubwa mno, maana ishu zimejipanga ikitoka hii inakuja ile...soon katakuja tena katukio kengine

ni kweli usemayo, yaani kwanza ukaanza mgomo wa madoctor (ambao haujaisha!), then issue ya doctor Uli, then mgomo wa teachers (ambao it seems haujaisha pia), the issue ya moro ya Ally bado mbichi, ghafla Iringa nako yaani katika hali ya kawaida it is very stressful! ila watz tuna tabia moja ya ajabu, we never learn from mistakes, and we forget things so fast, tumeisha sahau ya arusha, moro now iringa who and where next?
 
Unyanyasaji wa raia na VIFO vingi vya raia vya mfululizo vimekua HAVIKEMEWI wala Wahusika kuchukuliwa hatua na serikali ya ccm.Hii ni wazi kuwa KUNA SIRI NA NJAMA ZA MAUAJI YA MAKUSUDI kabisa kama silaha ya kuzuia nguvu kubwa ya Chadema, Kukichafua chadema kwa kukihusisha mauaji.

Kwakua serikali ya ccm Ina JESHI, SILAHA, MAHAKAMA NA PESA NA UBABE.Kupambana nayo kunahitajika nguvu kubwa zaidi. NASHAURI: 1. Watanzania tunatakiwa kuzifikisha na kuziweka uchi taarifa zote za matukio ya mtiririko wa MAUWAJI yanayofanywa na serikali hii kwa wahisani (Donners) wote .2. kutupia mtiririko wote wa taarifa zote na matukio kwenye link zote za wanaharakati wote wa haki za binadamu duniani .3. Kukusanya vielelezo vya mauaji yote ya utawala wa raisi kikwete na kuviweka kwenye link zote zinazohusiana na Mahakama za uhalifu za kimataifa. Hizi ndio silaha pekee zilizobakia kwa wanyonge kwa nia ya kuishinikiza serikali iache UNYAMA NA KULINDA DEMOKRASIA NA UHURU WA VYAMA VYA UPINZANI.Haya Yaliwezekana KENYA...

Kuendelea kubakia Kulalamika tuu na kucomment, ku-like na kupost tuu kwenye hii mitandao pekeyake Hakutasaidia kuleta mabadiliko yoyote.Mwisho wa siku yatapita mtasahau na yataendelea kutokea mabaya zaidi.KUCHUKUA HATUA NDIO SILAHA YA MAPAMBANO kuliko kuelezea tuu majanga kwa ufasaha bila kuchukua hatua.
 
Mnyika vipi tena unamtaka "dhaifu" achukuwe hatua? wewe usiye dhaifu kinakushinda nini kuchukuwa hatua?
 
Last edited by a moderator:
Mkurugenzi wa habari na uenezi (CHADEMA) John Mnyika leo akiongea na waandishi wahabari katika ofisi ya chama, amemtaka Kikwete kuchukua hatua za haraka kwa wahusika kwa kumpiga na bomu la machozi mwandishi wa habari Mwangosi hadi kumpelekea kupoteza maisha.

Pili amemtaka kumsimamisha kazi Paul Chagonja na RPC (Iringa) Kamuhanda kusimamishwa kazi wakati uchunguzi unaendelea.

Tatu alitaka uchunguzi ufanyike wa kujua kifo cha Mwangosi ni shinikizo kutoka kwa nani?

Kuhusu wahusika wa mauaji anasema kuwa tayari wanajulikana huku akionesha picha gazeti la jana la mwananchi wakati polisi nane wakimsulubu Mwangosi. hao ambao wameonekana kwenye picha ndio wa kwanza wanapaswa kukamatwa, sababu hata wao polisi wakati raia ameuawa huwa wanaanza na wale watu walikua karibu na tukio.

Kwa maana hiyo polisi nane wanapaswa kuwa wa kwanza kukamatwa.

source ITV- habari za saa.

Mnyika tumechoka na matamko mepesi kwa mambo mazito, huo ni upumbavu na bora mseme kabisa kama hamuwezi kuendesha chama.

SHAME ON YOU.
 
Ni kweli, kawaida ana namna yake ya kuwa patince na situation hadi yenyewe IPITE! Sidhani wakati huu huo mtindo unaweza kufaa ... Issue ilivyokuja hakika vema aseme kitu ...!!

Ndio maana mie bado naendelea kusema labda katika hili itakuwa tofauti. Ni rahisi kumsikia katika mambo mepesi mepesi lakini katika masuala mazito, mmh!
 
dah! ccm wanajaribu kutumia police kuwapunguza kasi chadema na hizi movement zao,but this time wamepotea coz waandishi wa habari wa2 hatari sana wanaweza kuwajenga au kuwabomoa so wataisoma......
 
Mnyika vipi tena unamtaka "dhaifu" achukuwe hatua? wewe usiye dhaifu kinakushinda nini kuchukuwa hatua?

Duh hatimae na wewe umekiri kuwa Raisi ni Dhaifu ndio maana tumefika hapa.... Nchi inaendeshwa Kienyeji na kizembe
 
Hayo ni maneno ya Mnyika nashangaa leo anaomba msaada hukohuko. Hivi wewe halikushangazi wala kukumjomba hilo?
 
tamko hili ni kama limetolewa na zomba, mnyika umeanza kupokea rushwa? list ya watu wa kuwajibika ndio imeishia kwa dagaa tu?

Maisha ya mtu sio khanga na kofia za njano mkuu, shirikisha ubongo japo kwa mambo muhimu ya nchi yale ya chumbani kwako endelea na kichwa maji hakuna atakaekushangaa zaidi ya mkeo.

mkuu nimeshangazwa sana kwa tamko la mnyika or may be mleta thread hakureport vizuri tamko, sasa ni wakati wa kuifumua ile safu ya uongozi kutoka kwa waziri mpaka ngazi ya wilaya.. hili ni moja tu kati ya matukio 100 ya aibu yanayofanywa na maafande. Kitengo cha drugs ndio kimeoza kinanuka, madawa sasa hivi yanauzwa nje nje na baadhi ya maafande ndio vinara wa usambazaji na wanapewa backup kutoka safu ya juu (gazeti la mwananchi)..
kazi kubwa ya jk kwa sasa ni kuirudisha imani ya wananchi kwa jeshi hili maana sasa hivi hata mimi nikimuona afande huwa nabadili njia kwakweli

Aanze kwa kumfukuza kazi Shemeji yake JK ambae ni IGP Mwema.
 
Hayo ni maneno ya Mnyika nashangaa leo anaomba msaada hukohuko. Hivi wewe halikushangazi wala kukumjomba hilo?
Sikiaaah! Wajua hata kama Una Mbwa Wako ambaye ni Mlinzi wako Usipomfundisha Vizuri Hatokulinda kamwe! Atakuwa kama Mfugo tu So Mnyika Alichofanya ni Kumfundisha Jk aliyelala na Uzuri Aliamka japo kalala Tena...

Mimi napenda hizi Changamoto huku Siku Zinaenda...
 
Sisi huwa tunawafundisha FFU yu tu. Mnyika anaomba msaada kwa Kikwete? aibu kubwa sana, lakini tunajuwa mnataka kashata na gahwa ya Ikulu, mtakaribishwa sio kwa mazingira haya, muombe kwanza.
 
Mnajua (Wewe na Nani?) Mnataka(Kina Nani?)

Kumuambia Mtu Aliyemadarakani achukue Hatua hiyo ni Aibu? kama Mnyika angekuwa Madarakani si budi angechukua hizo Hatua... na ni aibu kama Raisi hatochukua Hatua hiyo itajenga Picha kuwa anahusika kwa naman Moja au Zaidi
 
Ni aibu sana kuwachomekea watu wakajiue halafu unamwomba rais, kama si unafik ni nini huo? Angekuwa kingozi wa maana walipoambiwa wasitishe mikutano wakati wa sensa angwajulisha sehemu zote mikutano ilipopangwa kuwa wasifanye mikutano.

Kama walifanya bila idhini ya makao makuu ya chadema, basi hao wamejitakia yaliyowakuta. Lakini kama makao makuu ya chadema yanajuwa na yaliwaambia waendelee tu na mikutano wakati wa sensa, halafu kijimnyika kimuombe rais sijui afanye hivi au vile, huo ni unafik na uzandik wa hali ya juu. Kuweni wakweli.
 
Back
Top Bottom