Kifo cha mume wa Irene Kamugisha wa The Fix SNS kama utani.

BabaMorgan

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
4,050
10,495
Hii dunia ina mengi ya kustaajabisha.

Kama ni mtazamaji wa sns hususani kipindi cha the fix kinachoongozwa na Kamureen Irene Kamugisha basi utakuwa unajua jinsi gani huyu dada alivyokuwa akimtaja mumewe mara kwa mara kuonyesha kumpenda na kutoa appreciation kwa mumewe kwa mujibu wake alikuwa akimsupport kwenye utangazaji wake.

Kifo cha mumewe kimetokea vacation wakati akiogelea aisee hivi mtu hujui kuogelea unapataje ujasiri wa kuogelea kwenye kina kirefu kweli maisha ni fumbo no one knows tomorrow wakat wengine tunafurahi kuingia 2024 wenzetu wapo kwenye majonzi ya kupoteza wapendwa wao.
 
Na yeye anakufahamu? Nyie mnaishi Dar wapi mnafahamiana hivi? Anyway unaweza kuta pia kuna watu wananifahamu mi siwafaham ndo wabongo wengi mmeamua kuishi hivyo. Mimi hao uliowataja siwafaham. Poleni sana kwa kupoteza mtu wenu. Muwe mnaanzisha jukwaa la ndugu zenu
 
Hii dunia ina mengi ya kustaajabisha.

Kama ni mtazamaji wa sns hususani kipindi cha the fix kinachoongozwa na Kamureen Irene Kamugisha basi utakuwa unajua jinsi gani huyu dada alivyokuwa akimtaja mumewe mara kwa mara kuonyesha kumpenda na kutoa appreciation kwa mumewe kwa mujibu wake alikuwa akimsupport kwenye utangazaji wake.

Kifo cha mumewe kimetokea vacation wakati akiogelea aisee hivi mtu hujui kuogelea unapataje ujasiri wa kuogelea kwenye kina kirefu kweli maisha ni fumbo no one knows tomorrow wakat wengine tunafurahi kuingia 2024 wenzetu wapo kwenye majonzi ya kupoteza wapendwa wao.

Review and improve your writing skills
 
Back
Top Bottom