Kifo cha mende kwa chama cha siasa

Kifo cha mende kwa chama cha siasa

Alloyce PR

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2020
Posts
590
Reaction score
706
"Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali kuhusu mienendo ya vyama vya siasa, chama cha siasa hufikia mwisho wa uhai wake, 'kifo cha mende' si kwa kupigwa marufuku rasmi au kushindwa kwenye sanduku la kura, bali kinapopotoka kimaadili na kisera kwa kujikita katika ulaghai na siasa za porojo.

Dalili kuu ya kufa kwa chama ni pale kinapoacha kujenga hoja zenye mwelekeo wa kitaifa na badala yake kuibuka na ajenda za kusaka umaarufu wa muda mfupi zisizo na msingi wa kisera wala kiuchumi, mfano wa hoja potofu nikutoa ahadi za kuanzisha pensheni kwa waendesha boda-boda bila mpango madhubuti wa utekelezaji. Uhalisia wa siasa unahitaji uaminifu, tafiti sahihi, na sera endelevu, si miujiza ya kisiasa isiyo na mizizi kwenye uhalisia wa rasilimali na mifumo ya kijamii." Alloyce, P.R.
 
Kama hawa Jamaa hapa Chini
IMG-20250530-WA0046.jpg
IMG-20250530-WA0047.jpg
IMG-20250530-WA0045.jpg
IMG-20250530-WA0044.jpg
 
"Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali kuhusu mienendo ya vyama vya siasa, chama cha siasa hufikia mwisho wa uhai wake, 'kifo cha mende' si kwa kupigwa marufuku rasmi au kushindwa kwenye sanduku la kura, bali kinapopotoka kimaadili na kisera kwa kujikita katika ulaghai na siasa za porojo. Dalili kuu ya kufa kwa chama ni pale kinapoacha kujenga hoja zenye mwelekeo wa kitaifa na badala yake kuibuka na ajenda za kusaka umaarufu wa muda mfupi zisizo na msingi wa kisera wala kiuchumi, kama vile ahadi za kuanzisha pensheni kwa waendesha boda-boda bila mpango madhubuti wa utekelezaji. Uhalisia wa siasa unahitaji uaminifu, tafiti sahihi, na sera endelevu, si miujiza ya kisiasa isiyo na mizizi kwenye uhalisia wa rasilimali na mifumo ya kijamii." Alloyce, P.R.
Hii ya kuwapa bodaboda pensheni nilipoisikia, nilisikitika sana. Kupewa wanaweza kupewa, lakini sio kwa utaratibu aliousema Heche.

Ninavyojua, ni ngumu kupewa pensheni kama huchangii. Watumishi wengine wanachangia sehemu ya kipato chao ndio maana wanalipwa pensheni. Kama Heche na Chadema wanaweza kuwalipa bodaboda bila kuchangia, hiyo ni political propaganda na kitu kisichowezekana.
 
Safi sana mkuu, wewe umeelewa andiko vyema.
 
Hii ya kuwapa bodaboda pensheni nilipoisikia, nilisikitika sana. Kupewa wanaweza kupewa, lakini sio kwa utaratibu aliousema Heche.

Ninavyojua, ni ngumu kupewa pensheni kama huchangii. Watumishi wengine wanachangia sehemu ya kipato chao ndio maana wanalipwa pensheni. Kama Heche na Chadema wanaweza kuwalipa bodaboda bila kuchangia, hiyo ni political propaganda na kitu kisichowezekana.
Rwanda wameweza hii,ni rahisi sana,una warasimisha kwa wao kufungua vikundi vyao na mikataba inayoeleweka,kisha unawaambia wachangie kiasi fulani na wataweza ku-withdraw hiyo michango yao ndani ya miaka let say 20,serekali pia wanaweka the same amount waliochangia kikundi au hata 50%,mfano bodaboda 200 wakichangia kwa mwezi milioni 50 serekali inawawekea milioni 25,faida yake ni nini?
1.unakuwa umeweza kuwatambua bodaboda ni wangapi
2.Wanapewa bima ya afya kwa kuwa member wa mfuko wa pensheni
3.Michango yao inakuwa sawa na TB ambazo govt inakopa kisha na kuipa Coupon Rate ya 15%
4.Hivi vikundi vitakuwa na anuani na wanaweza kukopesheka kirahisi
 
Na huu utaratibu Rwanda walianzisha miaka kumi iliyopita
 
Imani yangu, tunao watu makini sana Tanzania kwetu, sio ukiandika jambo tu watakurupuka kukushughulikia. Nadhani muhimu ni kuzingatia kutoa maoni pasipo kushambulia, kudhalilisha mihimili, n. K. Tunayo Serikali makini sana mkuu.
Wewe unajiangalia peke yako tu? Unadhani ukiwa na imani wewe binafsi basi watu wengine wote wataamini pia? Hii ndo sababu kwanini pia watu wengi hujisahau
 
Rwanda wameweza hii,ni rahisi sana,una warasimisha kwa wao kufungua vikundi vyao na mikataba inayoeleweka,kisha unawaambia wachangie kiasi fulani na wataweza ku-withdraw hiyo michango yao ndani ya miaka let say 20,serekali pia wanaweka the same amount waliochangia kikundi au hata 50%,mfano bodaboda 200 wakichangia kwa mwezi milioni 50 serekali inawawekea milioni 25,faida yake ni nini?
1.unakuwa umeweza kuwatambua bodaboda ni wangapi
2.Wanapewa bima ya afya kwa kuwa member wa mfuko wa pensheni
3.Michango yao inakuwa sawa na TB ambazo govt inakopa kisha na kuipa Coupon Rate ya 15%
4.Hivi vikundi vitakuwa na anuani na wanaweza kukopesheka kirahisi
Ngoja nikae nifuatilie hili vizuri mkuu, yamkini nikapata uelewa kuhusu hilo tofauti na ambavyo nilifikiria kabla.
 
Rwanda wameweza hii,ni rahisi sana,una warasimisha kwa wao kufungua vikundi vyao na mikataba inayoeleweka,kisha unawaambia wachangie kiasi fulani na wataweza ku-withdraw hiyo michango yao ndani ya miaka let say 20,serekali pia wanaweka the same amount waliochangia kikundi au hata 50%,mfano bodaboda 200 wakichangia kwa mwezi milioni 50 serekali inawawekea milioni 25,faida yake ni nini?
1.unakuwa umeweza kuwatambua bodaboda ni wangapi
2.Wanapewa bima ya afya kwa kuwa member wa mfuko wa pensheni
3.Michango yao inakuwa sawa na TB ambazo govt inakopa kisha na kuipa Coupon Rate ya 15%
4.Hivi vikundi vitakuwa na anuani na wanaweza kukopesheka kirahisi
Kwa hoja hii naunga mkono. Mimi Nimefanya project yangu ya Masters na vikundi vya bodaboda katika kuwaingiza kwenye Mpango wa Voluntary Savings Retirement Scheme (VSRS) mwaka 2012 ambapo kama ulivyosema kwa Rwanda, wanasajiliwa kisha wanapewa namba za kuchangia baada ya kukubaliana watachangia kiasi gani let say kwa siku, wiki au mwezi. Tena project yetu walikuwa wanaweza kuchangia kwa M - Pesa bila kwenda ofisini.
 
Ooh! Naanza kupata kujifunza.
 
Back
Top Bottom