JF ni shule tosha Mkuu.Ooh! Naanza kupata kujifunza.
Kwanini haukufuatilia au kufanya utafti wa hiyo agenda ( boda boda kupewa pension) kabla.Ngoja nikae nifuatilie hili vizuri mkuu, yamkini nikapata uelewa kuhusu hilo tofauti na ambavyo nilifikiria kabla.
Naomba msaada mmoja unaweza kunipa source ya uhakika inayoelezea Rwanda inavyotoa pensheni kwa boda-boda au hata nchi nyingine kama unayo. Naomba msaada mkuu kwenye hilo nipate kujifunza.Kwanini haukufuatilia au kufanya utafti wa hiyo agenda ( boda boda kupewa pension) kabla.
Badala yake umekimbia jf kuandika thread ukiwa ume-conclude kwamva ni kitu ambacho hakiwezekani ni political propaganda?
Kweli kabisa mkuu, wengi tukiwa tunajikita kwenye misingi ya hoja pasipo kutumia lugha zisizo za kiungwana basi tutapata elimu sana hapa JF.JF ni shule tosha Mkuu.
Kabla hujaomba nikupe source , ulisema ngoja ukae ufuatilie vizuri . Je umefuatilia au unataka nifanye kazi ambayo uliahidi kuifanya kwa faida yako?Ngoja nikae nifuatilie hili vizuri mkuu,
Naomba msaada mmoja unaweza kunipa source ya uhakika inayoelezea Rwanda inavyotoa pensheni kwa boda-boda au hata nchi nyingine kama unayo. Naomba msaada mkuu kwenye hilo nipate kujifunza.
Wakati tunaanzisha PSSN 1 kwenye TASAF mwaka 2012, watu wengi walipinga andiko tulilopeleka WB kuwa haitawezekana."Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali kuhusu mienendo ya vyama vya siasa, chama cha siasa hufikia mwisho wa uhai wake, 'kifo cha mende' si kwa kupigwa marufuku rasmi au kushindwa kwenye sanduku la kura, bali kinapopotoka kimaadili na kisera kwa kujikita katika ulaghai na siasa za porojo.
Dalili kuu ya kufa kwa chama ni pale kinapoacha kujenga hoja zenye mwelekeo wa kitaifa na badala yake kuibuka na ajenda za kusaka umaarufu wa muda mfupi zisizo na msingi wa kisera wala kiuchumi, mfano wa hoja potofu nikutoa ahadi za kuanzisha pensheni kwa waendesha boda-boda bila mpango madhubuti wa utekelezaji. Uhalisia wa siasa unahitaji uaminifu, tafiti sahihi, na sera endelevu, si miujiza ya kisiasa isiyo na mizizi kwenye uhalisia wa rasilimali na mifumo ya kijamii." Alloyce, P.R.
Hadi nimeomba source inamaanisha nimefuatilia sijapata data yoyote kuhusiana na hilo mkuu.Kabla hujaomba nikupe source , ulisema ngoja ukae ufuatilie vizuri . Je umefuatilia au unataka nifanye kazi ambayo uliahidi kuifanya kwa faida yako?
Asante sana mkuu, umeeleza vyema na mimi ngoja nijifunze kuhusu hili.Wakati tunaanzisha PSSN 1 kwenye TASAF mwaka 2012, watu wengi walipinga andiko tulilopeleka WB kuwa haitawezekana.
Leo hii zaidi ya Watanzania milioni 1 wananufaika na TASAF (japokuwa kuna kaya hewa nyingi zinawekwa na VEOs/WEOs) kila mwaka.
Shida kubwa ya sisi tunajiita/tunaoitwa wasomi ni kutofanya tafiti hata za maeneo tunapoishi, na hili ni tatizo kubwa sana kwenye ngazi ya taifa, maana serikali na tafiti ni ardhi na mbingu, ndio maana hatufiki kwenye maendeleo.
Hata CHF walisema haiwezekani.
MKURABITA pia walisema haiwezekani.
Usiwe unakimbilia kusema jambo fulani haliwezekani.Asante sana mkuu, umeeleza vyema na mimi ngoja nijifunze kuhusu hili.
Hilo tutajadili siku nyingine. Sijasema haiwezekani, suala ni kuwa wanapotoa ahadi wanakua wamefanya utafiti kwa kiwango gani kujiridhisha na utekelezaji wake.Usiwe unakimbilia kusema jambo fulani haliwezekani.
Kuna chama kiliweka elimu bure kwenye sera/ilani yake, na CCM walipinga kuwa haiwezekani, lakini tulikuja kuona CCM wakiichukua na kuifanyia kazi na ikawezekana (japokuwa bado kuna ubishani kuwa si bure sababu ya michango).
Hii inchi ina wasomi wengi tu wazuri.Hilo tutajadili siku nyingine. Sijasema haiwezekani, suala ni kuwa wanapotoa ahadi wanakua wamefanya utafiti kwa kiwango gani kujiridhisha na utekelezaji wake.
Labda kama huna akili, ANC ilipigwa marufuku na kiongozi wake aliwekwa jela kwa miaka 27, je ilikufa?"Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali kuhusu mienendo ya vyama vya siasa, chama cha siasa hufikia mwisho wa uhai wake, 'kifo cha mende' si kwa kupigwa marufuku rasmi au kushindwa kwenye sanduku la kura, bali kinapopotoka kimaadili na kisera kwa kujikita katika ulaghai na siasa za porojo.
Dalili kuu ya kufa kwa chama ni pale kinapoacha kujenga hoja zenye mwelekeo wa kitaifa na badala yake kuibuka na ajenda za kusaka umaarufu wa muda mfupi zisizo na msingi wa kisera wala kiuchumi, mfano wa hoja potofu nikutoa ahadi za kuanzisha pensheni kwa waendesha boda-boda bila mpango madhubuti wa utekelezaji. Uhalisia wa siasa unahitaji uaminifu, tafiti sahihi, na sera endelevu, si miujiza ya kisiasa isiyo na mizizi kwenye uhalisia wa rasilimali na mifumo ya kijamii." Alloyce, P.R.
Labda wewe ndio kama hauna akili, hilo andiko limezungumzia mtu au chama kuwekwa ndani?Labda kama huna akili, ANC ilipigwa marufuku na kiongozi wake aliwekwa jela kwa miaka 27, je ilikufa?
Katiba hii itakawekwa viraka na mwenyikiti hadi mwaka 2077Kama hawa Jamaa hapa Chini View attachment 3351300View attachment 3351303View attachment 3351301View attachment 3351302
Nakumbuka aliwahi kuhojiwa Mzee SITTA (marehemu )Kuhusu SERA ya elimu bure iliyokuwa inahubiriwa na CHADEMA,Aliulizwa kuhusu suala la kutoa ELIMU bure kuanzia chekechea hadi kidato cha nne, MZEE SITTA alipinga sana na kusema hilo jambo haliwezekani.Lakini sasa hivi elimu ni bure mpaka kidato cha 4, kwahiyo usipinge tu kaka hakuna kisichowezekana.Hii ya kuwapa bodaboda pensheni nilipoisikia, nilisikitika sana. Kupewa wanaweza kupewa, lakini sio kwa utaratibu aliousema Heche.
Ninavyojua, ni ngumu kupewa pensheni kama huchangii. Watumishi wengine wanachangia sehemu ya kipato chao ndio maana wanalipwa pensheni. Kama Heche na Chadema wanaweza kuwalipa bodaboda bila kuchangia, hiyo ni political propaganda na kitu kisichowezekana.