Gudasta
JF-Expert Member
- Jan 25, 2011
- 627
- 1,153
Salamu sana wakuu wote,
Muda huu nimeshtuka kutoka usingizini baada ya kuota ndoto hii:
"Nilikuwa nikisikiliza idhaa ya kiswahili ya bbc katika kipindi chao cha asubuhi cha amka na bbc
mtangazaji wa kipindi hicho alikuwa ni Nyendo Angela, kuelekea mwisho wa kipindi alicheza wimbo wa zamani
wa Mary J Blidge ambapo kwa bbc sio kawaida kucheza nyimbo hizo asubuhi, baadae akatangaza kuwa Mary J Blidge
amepoteza maisha baada ya kuanguka ghafla na kisha akaanza kuwaoji bahadhi ya wasikilizaji walivyokuwa wakimfahamu Mary J Blidge"
Baada ya hapo nikashtuka toka usingizini na kuanza kusali kumuomba Mungu azuie hicho kitu kisitokee. Je kuna mwanajamii ambae aliishawahi kuota ndoto za aina hii ambapo inakuwa wazi kabisa kuwa fulani amefariki na je ukiota ni kweli inatokea au laa?
Sijajua hii ndoto ina maana gani au ni ndoto tu kama ndoto.
Shukrani