Nini hufuata mapenzi yanapofika mwisho? Kujiua? Kuomba suluhu? Kuchanganyikiwa? Kuwa mlevi? Nini hufuata baada ya kifo cha mapenzi??? Nina uhakika kila mmoja wetu amekumbana na hili..! Tuambie tushiriki uzoefu , kwakuwa yaweza kuwa tiba kwa wengine...!

Mapenzi yakifa yanaumiza moyo, hata hivyo huzikwa na kusahauliwa mapenzi mapya yanapoibuka. Ikitokea ucheleweshwaji wa penzi jipya, maumivu huendelea. Cha kufanya hapo ni kutafuta mpenzi mpya kabla ya penzi la zamani halijakata roho.