ERICK GERVAS Member Joined Jan 8, 2013 Posts 7 Reaction score 2 Jun 3, 2013 #1 hivi ni kwa nini wasanii wa Bongo wa kizazi kipya hawataki kuwa na umoja, hasa kwenye tukio la msiba wa mpendwa wetu. Albert Mangwea? hebu mjifunze ushirikiano toka Bongo Movie.
hivi ni kwa nini wasanii wa Bongo wa kizazi kipya hawataki kuwa na umoja, hasa kwenye tukio la msiba wa mpendwa wetu. Albert Mangwea? hebu mjifunze ushirikiano toka Bongo Movie.
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 20,045 Reaction score 16,176 Jun 3, 2013 #2 wamefanyaje hawa wa bongo flava na wa bongo movie huwa wanafanyaje!
Twilumba Platinum Member Joined Dec 5, 2010 Posts 13,636 Reaction score 16,613 Jun 3, 2013 #3 Na wewe na akili zako, unalinganisha income ya wasanii wa bongo movie na bongo flava? wanashirkiana lkn kwa uwezo walio nao!
Na wewe na akili zako, unalinganisha income ya wasanii wa bongo movie na bongo flava? wanashirkiana lkn kwa uwezo walio nao!
mikatabafeki JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 12,771 Reaction score 4,656 Jun 3, 2013 #4 ​nini kwani????