Kifo cha Jesse Jackson, Trump atengwa

Kifo cha Jesse Jackson, Trump atengwa

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
16,095
Reaction score
24,323
IMG_0781.jpeg

Mchungaji Jesse Jackson amefariki,,
Amezikwa jimboni kwake Chicago..Jesse Jackson ni mtu maarufu….ni mpigania haki za binadamu na ubaguzi kwa watu ambao ni less privileged na sio watu weusi tu.

Alikuwa rafiki wa karibu wa Martini Luther King Jr.

Kwenye mazishi yake walikuwepo watu maarufu toka ndani na nje ya Marekani.

Nilimwona Comrade Cyril Matamela Ramaphosa,
Felic Tchiseked Chilombo na wengine wengi.
Ramaphosa alikataa kuongea kwa dkk mbili akidai uhusiano kati ya South Africa na Jesse Jackson sio wa kuongelea kwa dkk mbili ukizingatia na umbali km 14,000 au maili 9000 aliosafiri.

Walikuwepo marais wa zamani wa Democrats ambao ni Billy Clinton,Barack Obama na Joe Biden.

Cha ajabu Donald Trump ambaye ni sitting President hakualikwa wala kuonekana..

Hii inatupa picha gani…
Let us Discuss..
 
Hayo mazishi yalionekana kama mkusanyiko wa wana Democrats

Kwa historia ya Black Civil Rights, chama che Democrat ndiyo kinahusishwa zaidi na siasa hizo
Sheria nyingi za kuwa favour watu weusi kama Voting Rights na Black Civil Rights zilipitishwa na ma rais waliotokea Democrat
Jesse Jackson aligombea urais mwaka 1984 na 1988 kupitia Democrat
Viongozi wengi wa weusi kina Martin Luther King, Al Shapton na Jesse Jackson walikuwa na wafuasi wengi weusi kutoka Democrats

Trump ni Republican
Licha ya Rais wa Republican Abe Lincoln kuwa muasisi wa kuvunja utumwa US lakini sera za Democrats mara nyingi zimewabeba Blacks kwenye siasa na hata sasa ukiangalia majimbo mengi yenye weusi kama yale ya Kusini mwa US na yenye wahamiaji wengi yanapigia kura Democrats na yale ya wazungu wenye uhafidhina na matajiri weupe wanapigia Republican
Kwa hiyo hapo kikubwa ni siasa za Black Civil Rights na mgawanyiko wa kisiasa na ndiyo maana Republican walikuwa wachache hata Rais George Bush hakuhudhuria pia kwani naye alipingwa sana na Jesse Jackson kwa sera zake na hasa wakati wa vita ya Gulf na Iraq
 
Back
Top Bottom