Kifo cha hawara (Mkono Wa Jini)

Humu wanawake n LEO na miana tu au wengne ni (silentors) {hiyo english cjui kamusi inajua ila mmeelewa waungwana} na huyu mwanishi jaribu kupeleleza labda mzee mangeu kambadilisha kuwa paka.
 
Jamani nilikuja kuwatembelea mara moja sasa narudi kwetu, maana mi sikuhizi naishi kule kwenye ghetto la jamii sports.

Ila wakati naondoka naomba DJ anisindikize na ule wimbo wa msanii phina;

do salalee! Tumwesige senior ameachwaa, amepigwa kibutii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…