Kifo cha dola ya Marekani chawadia rasmi. Iran, Uturuki, Urusi na India zaitisha kikao Ankara kuipiga teke dola ya Marekani

what if EMIRATES decide to dump dollar usage and join the other side...
Why would the EMIRATES do that? you really wanna have African business men wandering around Sharjah looking for FX instead of goin shopping, how about tourists. Emirates would not invite that kind of retaliatory driven gimmick rubbish.
 
Tatizo linakuja ni nchi ipi kati ya hizo sarafu yake itumika kwenye biashara, je na uchumi wake upo stable.
Hilo siyo tatizo. Hii ni kama barter system. Nakuuzia bidhaa au huduma unayohitaji unanilipa katika fedha/sarafu ya kwako hivyo nakuwa na reserves katika sarafu yako. Ukinunua kwangu na mimi nakuuzia katika sarafu yangu unakuwa na reserves katika sarafu yangu. Hivyo baada ya muda nitatumia reserves zangu katika sarafu yako kununua bidhaa/huduma kutoka kwako na wewe vile vile. Tatizo lake kubwa linaweza kuwa pale penye trade imbalance kubwa. Mmoja atakuwa anafaidi zaidi ya mwenzake.
 
Bila shaka wakianza huo mfumo hautachukua muda patakuwepo na mkanganyiko wa kisarafu pamoja na kuzidiana. Katika hali hiyo itakuwa vigumu sana kwao kuwa na uchumi uloimarika dhidi ya Mmarekani.
 
Economic sytems

Economic systems zote ni man-made. Inategemea na utashi, jitihada na imani ambayo washiriki watawekeza katika mfumo wao. Unaweza kufanikiwa sana au usifanikiwe. Inategemea.
 
Kipindi chote hicho huko Marekani wanakua wanaimba wimbo wa taifa kwamba hawatafanya kitu hadi mchukue na kumaliza muda wote huo?
Hata bondia mbabe huwa haamini anapokung'utwa..tahamaki kaporwa ubingwa wa dunia..ila siku zote aliamini anajiandaa vizuri
 
Back
Top Bottom