Katika kudhihirisha kuimarika kwa uchumi wa inchi yoyote ile duniani,mchezo wa kupokezana vijiti humfanya mkimbiaji kuwa na nguvu bila hata kuchoka na mwenye mori,wenzetu kenya leo wanaonja matunda ya kuiondoa KANU madarakani,na ni ukweli pia mambo ya kutoana kucha,meno,macho pia yalifanywa na viongozi huko kenya,hili lilipelekea serikali kujikita na kuelekeza nguvu nyingi yaani pesa na fikra ktk ujinga,sasa nasi twashuhudia leo TZ yalofanyika kenya leo yapo hapa,Nawasihi wa-TZ tusifanye makosa 2015.