NJIAZOTE MAJEBELE
New Member
- Mar 17, 2013
- 2
- 0
kila mwenye uwezo wa kuandika na kusoma, ni mtu mwenye uelewa wa jambo fulani muhihu katika jamii husika, hivyo basi,kwa uelewa wa kuona mambo makubwa kama haya, huyo ni mtu aliye pevuka, je! Wewe ni mmoja kati yao?na wewe ni mmoja kati ya waliopevuka?
CCM kitakuwa chama cha Upinzani kama kutakuwepo na makubaliano ya kubadilishana majina na chadema yaani Ccm iitwe chadema na chadema iitwe ccm hapo ccm kitakuwa chama cha upinzani chini ya kamanda Mbowe na Chadema chini ya Jakaya Kikwete kitakuwa chama tawala!
Naomba matumizi ya hiki kifungu cha maneno kibadilishwe...sote tunajua kuwa serikali hii iliwekwa mamlakani kwa ajili ya watanzania na sio Ccm..kwahivyo hii serikali imeshindwa kuwatumikia watanzania na sio chama.....hivyo hii ni serikali ya mafisadi wachache waliopewa mamlaka ama kwa kukusudia au kwa bahati mbaya na kuwasaliti raia