utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
Nikweli kabisa sisi wananchi tumekichoka hichi cha dhalimu, wauwaji wakubwa huku wakijidai wanatutea bungeni pia ni mafsadi. Magamba wakubwa na tutawang'oa 2015
Watakutia kilema weye wachokoze tu.
Huwa nayachukia yale marangi kweli, wakikusanyika utadhani shamba la alizeti.Nadhani ndio maana Singida watu hupata shida watambua.
utaishia kupata kansa na vidonda vya tumbo....chuki na husuda havitakuacha salama
say no to ugaidi...say no to lwax
Tatizo la watetezi wa CCM ni kuwa wanafikiria miaka 47 na majibu yao yako huko huko ......utaishia kupata kansa na vidonda vya tumbo....chuki na husuda havitakuacha salama
Mbona karibu kila muumini anamchukia shetani?Mbona kila raia mwema anachukia rushwa na uovu mwingine?Umewahi washauri usemalo?utaishia kupata kansa na vidonda vya tumbo....chuki na husuda havitakuacha salama
sisi wananchi tumechoka na tabia hii ya kulishwa sumu...ilianza kwa zitto ikaja kwa msaki ikaenda kwa mama yake zitto kutishiwa bastola ikaishia kuchukua roho ya chacha wangwe.
zile makala mbili za mwisho alizoandika kibanda kabla ya kuhama tz daima ndio zilimfanya akatobolewa macho na kung'olewa kucha
Huwa nayachukia yale marangi kweli, wakikusanyika utadhani shamba la alizeti.Nadhani ndio maana Singida watu hupata shida watambua.
huwa nayachukia yale marangi kweli, wakikusanyika utadhani shamba la alizeti.nadhani ndio maana singida watu hupata shida watambua.
Hongera kaka kwa kuwa na mtazamo chanya na nchi yako" Magamba yatapita analogia haina mda katika fikra ya watanzania wenye uwelewa wa kutosha kwaheri analogia welcome digital.Labda nifanye ku declare interest.Naichukia CCM(CHAMA ANALOGIA) kwa moyo wangu wote, kwa nguvu zangu, kwa fikra zangu zote,akili yangu yote bila kusahau na chuki zangu zote.
Kwa hiyo fikra analogia zozote zijue hilo.Mazungumzo yote yaende kweny epoint na si kuulizia hilo.