JOEL MAKWAIA
Member
- Jan 25, 2014
- 14
- 1
Sasa ni wazi kabisa kua CCM haipo tena kwenye masikio ya Watanzania!limebaki jina la Magufuli ambalo halina mvuto na haliuziki tena ndio maana wanawatumia mpaka wasaliti wa UKAWA kumuuza ila imekua tatizo! Kila kona ya nchi hivi sasa CCM ni taabani.
Imefikia mahali imekua Shida kwa wanaccm kujitambulisha mbele ya halaiki hata vijiweni, jina CCM sasa halinyweki kabisa midomoni mwa wananchi.kinaonekana kama chama mfu kilichopoteza matumaini ya Watanzania!
Neno tamu kwa sasa ni LOWASSA na MABADILIKO.
Hiyo tathimini umeifanyia wapi?