Kifo cha CCM alaumiwe nani?

Jamii forum nayo ni muuaji mkubwa wa ccm...kila siku ni kujadili na kuanika ubaya wa ccm na kuwapa mikakati cdm jinsi ya kuimaliza ccm. Kwa kweli Jamii furum imewaunganisha wana_Tz wote duniani na kuwa kitovu cha kujadili na kutoa solutions...nao wanastahili pongezi!
 
Mwalimu alisema msipotenda haki chama hakitasimama....je ni nani hasa wa kumlaumu?

Hamna wa kumlaumu kwa sababu hata ccm ikifa bado jua litachomoza mashariki na kuzama magharibi! in short life will go on! so take it easy ma-broda/sister!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom