Kifo cha barca

Magoo

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
445
72
Timu ya kuweza kuimaliza Barcelona ni hii.... mtizamo binafsi waweza toa na kuingiza mchezaji yoyote.

1. Joe Harte
2. Marcelo
3. l. king
4. Paolo Cannavaro
5. Paolo De Ceglie
6. Yaya Toure
7. Gareth Bale
8. A, Pirlo
9. R. van Persie
10. C. Ronaldo
11. Frank Riberry,

Reserves
Cassilas, Gomez, Gotze, Pepe, Soldado, Rooney
Coach
Jose Mourinho
 
msemaji wa timu awe Adriano Galiani, mmiliki wa Timu awe Maurizio Zamparini, Transfer manager awe Luciano Moggi,
Then hapo benchi ongeza Marek Hamsik, Ezequiel Lavezzi, Edinson Cavani, calvin Prince Boateng,
 
Timu ya kuweza kuimaliza Barcelona ni hii.... mtizamo binafsi waweza toa na kuingiza mchezaji yoyote.

1. Joe Harte
2. Marcelo
3. l. king
4. Paolo Cannavaro
5. Paolo De Ceglie
6. Yaya Toure
7. Gareth Bale
8. A, Pirlo
9. R. van Persie
10. C. Ronaldo
11. Frank Riberry,

Reserves
Cassilas, Gomez, Gotze, Pepe, Soldado, Rooney
Coach
Jose Mourinho

Hiyo timu itatumia mfumo upi? maana naona majina ya wachezaji na kocha ambao wengi wamelizwa na Barca.
 
Timu ya kuweza kuimaliza Barcelona ni hii.... mtizamo binafsi waweza toa na kuingiza mchezaji yoyote.

1. Joe Harte
2. Marcelo
3. l. king
4. Paolo Cannavaro
5. Paolo De Ceglie
6. Yaya Toure
7. Gareth Bale
8. A, Pirlo
9. R. van Persie
10. C. Ronaldo
11. Frank Riberry,

Reserves
Cassilas, Gomez, Gotze, Pepe, Soldado, Rooney
Coach
Jose Mourinho

The Best CB right now is KOMPANY, King isn't even close to Vidic or Vermaelen. Another thing, sidhani kama Rooney ana uwezo kihiiiivyo zaidi ya kubebwa na jina la timu na utamaduni wa Waingereza kusifia sana wachezaji wao. He is overrated. Sisemi ni mbovu ila kiwango chake ni cha kawaida!
 
he he he labda barca hiyo isifundishwe na guardiola,, ila kama katikati kati xavi na iniesta wataendelea kucheza kwa kiwango chao hiyo timu haiwezi kuifunga barca,, barca inafungwa na timu ndogo isiyo na mbwembwe na sitashangaa kama bayern liverkursen ikiitoa barca, but timu yoyote kubwa yenye mbwembwe barca anakomaa nayo,

Note: barca inatumia mfumo wa 4-3-3 mara nyingi kwenye mechi ngumu, na guardiola anajaribu kuja kufanya 3 wake wakatikati waje kucheza fabregas, xavi na iniesta kwa pamoja kuwasapoti washambuliaji watatu wa mbele ambao anakuwa messi, villa na alex sanchez sema bado hajafanikiwa kumfit fabregas hapo katikati, na huo mpango wake ukikubali mbona tutajuuta tusioipenda barca,, nazani wote tunajua kwa nini spain ilichukua world cup na euro miaka hii, ni sababu wa wale viumbe 3 wa katikati,

hivi vuta imagination xavi, fabregas na iniesta wapo midfield pamoja yaani hapo zitapigwa pasi complete hata 1000 kwenye mechi moja, kama ujerumani walivyokuwa wanarukaruka kwenye nusu fainali ya kombe la dunia, hao viumbe hawafai na siwapendi kama nini sema sina jinsi tu,,,
 
Timu ya kuweza kuimaliza Barcelona ni hii.... mtizamo binafsi waweza toa na kuingiza mchezaji yoyote.

1. Joe Harte
2. Marcelo
3. l. king
4. Paolo Cannavaro
5. Paolo De Ceglie
6. Yaya Toure
7. Gareth Bale
8. A, Pirlo
9. R. van Persie
10. C. Ronaldo
11. Frank Riberry,

Reserves
Cassilas, Gomez, Gotze, Pepe, Soldado, Rooney
Coach
Jose Mourinho

Cannavaro gani huyo?Ledley KIng?Mourinho alishawashindwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom