Kifo cha Andrew Sanga, What is next?

kwa walio na taarifa zitakazosaidia upelelezi ila hawana makaratasi ninaomba mnitumie inbox au mzilete hapa kwa uzi kwa kutumia utambulisho bandia. ikiwezekana ni vyema utumie public internet (mfano kwenye grocery stores, au penginepo ambapo sio rahisi mtu kupata data binafsi akimuamua).
 

Manake kama huna makaratasi halafu wewe ndio witness Hapo inakuwa shiiidar mkuu. Unaweza ukaishia mikononi mwa ICE
 
Manake kama huna makaratasi halafu wewe ndio witness Hapo inakuwa shiiidar mkuu. Unaweza ukaishia mikononi mwa ICE

Nope, kuna jamaa hana hata driving license alikuwa witness kwenye kesi na alipoojiwa jamaa hata hakugusia hilo suala. Huu ni Uwoga tu, jamaa wanajua upo. Hiyo itakuwa witness intermidation wakifanya hivo. Kuna visa ya kusaidia serikali kwenye mambo ya muhimu kama haya na hili linaweza kuwa moja ya sababu ya kupewa visa hiyo sema wabongo waoga mwanangu,
 
Niliona pakawa,picha zao zilikuwa zinaenda na caption ya #RIPDREW.
Mkuu kwani huyu marehemu alikuwa nani?! Meaning alikuwa kiongozi wa ngazi yoyote au! Mimi hapana fahamu yeye! Nauliza tuuu maana coverage yake ilikuwa kubwa kushinda ya mama yetu kule ng'ambo ya pili
 

Ukiwa cross examined na defense attorney na akikutupia hilo swali kuwa "are you a citizen or legal permanent resident of US?" Utajibu vipi?
 
Nasikia mkenya Wamemshot huko Houston kwenye car theft. Du akishinda Trump itabidi turudi Kwetu maana tutasubiliwa kila siku.
 
Ukiwa cross examined na defense attorney na akikutupia hilo swali kuwa "are you a citizen or legal permanent resident of US?" Utajibu vipi?

U do not have to be a Citizen or Permanent Residence to know the truth. And asking that question it can be considered discrimination. Trust me being a witness does not require anything but the true information u know.
The defense lawyer can go against ur personal characters but not ur gender,sexuality, immigration status, or nationality. U know something say something.
 
Ukiwa cross examined na defense attorney na akikutupia hilo swali kuwa "are you a citizen or legal permanent resident of US?" Utajibu vipi?

Easy....hapo prosecuting attorneys watapinga hiyo line of questioning na most likely kama key witnesses ni illegals basi wanaweza kupewa immnunity flani ili kuwezesha kesi ya upande wa mashtaka.
 
MKUU UMEKUWA WILLY GAMBA au JORAM?
 
...watu wakuamini wewe kama nani sasa...je si mmoja wa wahalifu wanaotafuta kujua nani anajua nini?
 
[QUOTE="kibebi, post: 16144732, member]

2. Watanzania wengi wameuawa vifo vya kikatili kama hivi huko Marekani ila watanzania hata wale ambao wana taarifa za wahusika waliamua kukaa kimya kuwalinda wauaji. Kumbuka leo ni Andrew kesho inaweza kuwa wewe. Tena bora ya Andrew amepata wa kumsafirisha akazikwa kwao, wewe unaweza usipate hata wa kulipia jeneza lako lije Tanzania uombolezwe na nduguzo. Hivyo basi kupatikana kwa wauaji ni njia moja wapo ya kutuma salamu kwa wengine wenye nia ya kujeruhi au kuua kwamba hakuna atakayewafichia siri.[/QUOTE]

Watanzania wengi wameuawa vifo vya kikatili Marekani?

Una takwimu?
 
Mkuu kuna mtu ngoja nimtafute nipate mawili matatu then ntakujia kwa njia ninayojua mimi
 

Watanzania wengi wameuawa vifo vya kikatili Marekani?

Unataka takwimu?[/QUOTE]
hivi NGABU unawajua Watanzania wote waishio USA?
 
Hahahaaaa....waongo waongoooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…