The Mongolian Savage JF-Expert Member Joined Jul 5, 2018 Posts 9,265 Reaction score 20,526 Oct 30, 2025 #1 Sikuwa namfaham na wengi hawakumfaham. Ila baada ya kifo chake ambapo aliuwawa kikakitili watu walipokea habari ya kifo kwa uchungu sana. Ni picha zake enzi za uhai wake ndo zilivuta hisia za wengi ambao hawakuwa wanamfaham. Sura yake ilionesha innocence sana. Lakini badala ya kutufariji tukaongezewa maumivu ya majibu yaliyojaa nyodo, madharau, ngebe, Kejeli, majigambo na majivuno eti kifo ni kifo. Sasa haki inaenda kutendeka. Na wote waliodhulumiwa uhai na maisha watatendewa haki.
Sikuwa namfaham na wengi hawakumfaham. Ila baada ya kifo chake ambapo aliuwawa kikakitili watu walipokea habari ya kifo kwa uchungu sana. Ni picha zake enzi za uhai wake ndo zilivuta hisia za wengi ambao hawakuwa wanamfaham. Sura yake ilionesha innocence sana. Lakini badala ya kutufariji tukaongezewa maumivu ya majibu yaliyojaa nyodo, madharau, ngebe, Kejeli, majigambo na majivuno eti kifo ni kifo. Sasa haki inaenda kutendeka. Na wote waliodhulumiwa uhai na maisha watatendewa haki.
Yohimbine JF-Expert Member Joined Jan 6, 2019 Posts 953 Reaction score 2,004 Oct 30, 2025 #2 Nuru hushinda giza ,long live spirit of Capt Tesha
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,459 Reaction score 100,799 Oct 30, 2025 #3 So far so good 👍 Vijana wameondoka na gari la tume
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,459 Reaction score 100,799 Oct 30, 2025 #4 Kwanini INEC wamestopisha kutangaza matokeo ya kura? Maana yake nini?