Salim A. Msangi
JF-Expert Member
- Apr 26, 2011
- 566
- 511
- Thread starter
-
- #61
Kiongozi ninacho fanya ni utafiti binafsi, ndiyo maana kwenye kazi zangu nyingi utaoana naweka vyanzo vya taarifa ambacho ndicho kitu muhimu kwenye kazi yoyote ya kitafiti, na vyanzo ninavyo weka nahakikisha ni vya uhakika,wewe sasa msomaji kama inakuap mushkeli inabidi uje na hoja zako pia useme hichi si kweli kwa sababu kadha, kadha, hichi ndicho kwa sababu hii na hii, vinginevyo itakuwa ni maoni binfsi tu.Huko sasa ndio kushiriki kwenyewe. Sasa lipo tukio ambalo ameshawahi kuamrisha watu wake wafanye ?
Inaonekana haya mambo hayaeleweki na yamejengeka katika misingi ya uongo. Sasa je ushawahi kulipima hili jambo kwa mizani ya Uislamu ukajua uislamu unasemaje kuhusu kusambaza au kuelezea habari ambazo huwezi kuthibitisha juu ya ukweli wake ?
Ushawahi kuzihakiki hizo taarifa ukajua ni kweli zinatolewa na kiongozi ?
Unaonaje kama ungetumia muda wa kuhakiki ukweli wa jambo hili na kuweza kulithibitisha kisha ukatuwekea na ukazipima habari zako kwa mizani ya Uislamu,ingekuwa bora kwako.
“Those who are able to see beyond the shadows and lies of their culture will never be understood, let alone believed, by the masses.”Kuna watu wanasinzia bila Kulala aisee, kwahyi hakufa? Unaota
Unaujuaje uhakika wa hivyo vyanzo ?Kiongozi ninacho fanya ni utafiti binafsi, ndiyo maana kwenye kazi zangu nyingi utaoana naweka vyanzo vya taarifa ambacho ndicho kitu muhimu kwenye kazi yoyote ya kitafiti, na vyanzo ninavyo weka nahakikisha ni vya uhakika,wewe sasa msomaji kama inakuap mushkeli inabidi uje na hoja zako pia useme hichi si kweli kwa sababu kadha, kadha, hichi ndicho kwa sababu hii na hii, vinginevyo itakuwa ni maoni binfsi tu.
Unawatambuaje hao vijana wanao jiita "New Salafism", kwamba wanajiita au wanaitwa hivyo "New Salafism" ?
Hapa nataka kujua,ya kuwa hao ISIS ndio wanatumia sana "Kuniya" si ndio maana yake au imekaaje hii ?
Sajafaham swali lako lina lenga nini hasa, lakini kuweka mambo sawa na kurahisisha jambo ni wewe kusema au kuja na hoja kuwa hichi unacho sema si sahihi, kwa mujibu wa hichi na hichi hili si sawa, halafu mimi sasa ni kanushe kwa hoja au nikubaliane na ushahidi wako. Vinginevyo utakuwa unaniambia nikuthibitishie kitu ambacho nakikubali ni sahihi, matokeo yake kutakuwa na mlolongo wa maswali yasiyo isha yanaho hitaji ufafanuzi wa kila nukta. Basi leta ushahidi wako kupinga hili, na nadhani hiyo ndiyo lugha ya Quran, kitu kinapingwa na hoja, na ndivyo wanavyo fanya wasomi, hoja kwa hoja.Unaujuaje uhakika wa hivyo vyanzo ?
Ushawahi kusoma namna ya uhakiki wa habari kwa mujibu wa Uislamu ?
Hili no fanya liko sahihi,na wewe unatakiwa kunikinaisha kwa majibu,ndio maana nina hoji.Sajafaham swali lako lina lenga nini hasa, lakini kuweka mambo sawa na kurahisisha jambo ni wewe kusema au kuja na hoja kuwa hichi unacho sema si sahihi, kwa mujibu wa hichi na hichi hili si sawa, halafu mimi sasa ni kanushe kwa hoja au nikubaliane na ushahidi wako. Vinginevyo utakuwa unaniambia nikuthibitishie kitu ambacho nakikubali ni sahihi, matokeo yake kutakuwa na mlolongo wa maswali yasiyo isha yanaho hitaji ufafanuzi wa kila nukta. Basi leta ushahidi wako kupinga hili, na nadhani hiyo ndiyo lugha ya Quran, kitu kinapingwa na hoja, na ndivyo wanavyo fanya wasomi, hoja kwa hoja.
sio kweli magaidi wapo chief sema wazungu wanatumia mwanya huo kuingiza humo interest zao. magaid ni watu wanaolalamikia mambo flan flan wanayodai ni haki yao na yasipotekelezwa hulazimisha. kwa mfano yule mtoto wa mberesero aliyekamatiwa kenya kule mombasa al shabaab walivyoenda kuua wanafunz huwez kuniambia et ni zao la wamarekan. ni kama vile unavyomuona sheikh ponda na madi yake tu akipata sapot anaanzisha nae ya kwake so usitudanganye. waarabu wanaposhindwa kutatua changamoto zao husingizia wazungu. na wazungu wanatumia mwanya huo kuwaibia.Sizungumzii kwamba yupo hai au amekufa, hiyo siyo ishu hapa, nadhani hjaelewa uzi mzima. Kwanza kama alivyo kuwa Osama, alzarqawi, na pia kulikuwa na Albaghadad mwingine kabla ya huyu, wote walikuwa wanakufa na kufufuka, kwenye haijalishi kafa ua yupo hai, ninacho zungumzia hapa ni namna watu wenye akili ndogo wanavyo aminishwa kuwa kuna 'gaidi' mahali na ili tuweze kumdhibiti, tupe haki zako za privacy, toa sheria hii weka ile n,k wakati mwisho wa siku waathirika ni mimi na wewe, sababu hapakuwa na kitisho cha gaidi, bali kimetengenezwa ili kutuporoka haki zote. Mwisho wa siku gaidi ni wewe na mimi, sababu ndiyo wahanga wa sheria hizo.
Magaidi wapo, wa kila aina na namna, inategemea 'nani anamwita nani' kuwa ni gaidi, Mandela aliitwa gaidi na makaburu. Gaidi ambaye nasema hayupo ni gaini ambaye anatekeleza shambulizi kama la 9/11. waste gate, anashambulia majeshi ya marekani na kuchukua silaha zao, anateka wanawake wa kijiji kizima na msururu wa magari karibu 200 na haonekani kwenye satelaiti, na mengine kama hayo, huyo gaidi hayupo. Huyo 'ghost' gaidi ni project ambayo inaelekea tamati. Kama huku ng'amua tangu shambulio la 1994 kwenye Embassy mbili za Marekani hapa Afrika mashariki kwamba ile ilikuwa ni project up to now, I wonder where will you stand as the files for the coming project are put on order.sio kweli magaidi wapo chief sema wazungu wanatumia mwanya huo kuingiza humo interest zao. magaid ni watu wanaolalamikia mambo flan flan wanayodai ni haki yao na yasipotekelezwa hulazimisha. kwa mfano yule mtoto wa mberesero aliyekamatiwa kenya kule mombasa al shabaab walivyoenda kuua wanafunz huwez kuniambia et ni zao la wamarekan. ni kama vile unavyomuona sheikh ponda na madi yake tu akipata sapot anaanzisha nae ya kwake so usitudanganye. waarabu wanaposhindwa kutatua changamoto zao husingizia wazungu. na wazungu wanatumia mwanya huo kuwaibia.
Unajua kama ninge andika toka, kichwani kwangu bila reference yoyote, hapo ungekuwa sahihi kuniambia nifanye hivyo, lakini reference zipo, na hapa kwenye huu uzi ni sehemu ndogo sana ya hadithi yote, ni kama 'tip of iceberg', mada nzima sasa, ya suala la hii 'project' inayo itwa ugaidi, tangu inazaliwa, makusudio yake, na mwisho wake ni upi, kuna uzi mrefu sana kaucheki kwenye blogi yangu,na pitia posti hizi, moja baada ya nyingine, pitia na reference zake moja baada ya nyingine, halafu sasa leta hoja zako.Hili no fanya liko sahihi,na wewe unatakiwa kunikinaisha kwa majibu,ndio maana nina hoji.
Unalolitaka kwangu ndio ambalo ulitakiwa wewe ulifanye kabla ya kiandika haya yaani kwenye huu uzi wako.
Si unakubali ya kuwa kila kitu kipowazi ndio maana naona unaweka kauli nyingi sana za Wanafalsafa wa kale wa Magharibi. Kwa maana hata katika kuujia ukweli kuna waliokutangulia katika hilo. Unaposema unalo ona wewe kuwa ni ukweli au sahihi,ndio ujibu hayo maswali na kuthibitisha ya kuwa ni sahihi kwa misingi hiyo inayokufanya ujue kwamba hayi ni sahihi,ili ndio lengo langu.
Sababu haya umesema unayaona kuwa ni sahihi kwahiyo ni wajibu wako kutuonyesha usahihi huo huku ukiwa unaulizwa maswali na kuyajibu kielimu.
Au nakosea kaka,kama nakosea niambie.
Uislamu unakufundisha hivi kaka ?'Uislam unatufundisha kuchukua elimu hata ikiwa kwenye kinywa
Inanibidi nifute hicho nilicho andika kuhusu 'kupata elimu kwenye kivywa cha mbwa', naendela kupekua makabrasha yangu, na kuzungumza na watu, maana maandishi halisi ya hichi nilicho sema juu ya 'mbwa', si nayo, napenda kusimamia kile ambacho ninacho ushahidi nacho, hivyo hilo nalifuta mpaka nitakapo pata uhakika nalo. Shukran.Uislamu unakufundisha hivi kaka ?
Safi kabisa,lifanyie kazi hilo.Inanibidi nifute hicho nilicho andika kuhusu 'kupata elimu kwenye kivywa cha mbwa', naendela kupekua makabrasha yangu, na kuzungumza na watu, maana maandishi halisi ya hichi nilicho sema juu ya 'mbwa', si nayo, napenda kusimamia kile ambacho ninacho ushahidi nacho, hivyo hilo nalifuta mpaka nitakapo pata uhakika nalo. Shukran.
Sizungumzii kwamba yupo hai au amekufa, hiyo siyo ishu hapa, nadhani hjaelewa uzi mzima. Kwanza kama alivyo kuwa Osama, alzarqawi, na pia kulikuwa na Albaghadad mwingine kabla ya huyu, wote walikuwa wanakufa na kufufuka, kwenye haijalishi kafa ua yupo hai, ninacho zungumzia hapa ni namna watu wenye akili ndogo wanavyo aminishwa kuwa kuna 'gaidi' mahali na ili tuweze kumdhibiti, tupe haki zako za privacy, toa sheria hii weka ile n,k wakati mwisho wa siku waathirika ni mimi na wewe, sababu hapakuwa na kitisho cha gaidi, bali kimetengenezwa ili kutuporoka haki zote. Mwisho wa siku gaidi ni wewe na mimi, sababu ndiyo wahanga wa sheria hizo.
Wala sina shaka na uwezo wa nguvu zao ila pia nna shaka nao kama bina adam hua wanakosea ndio maana yanguUnaweza ukawa haupo Tanzania alafu upo Oman nguvu ya CIA bado hujaiona huko ilivyo tamalaki?
“Those who are able to see beyond the shadows and lies of their culture will never be understood, let alone believed, by the masses.”Yaani wewe una ujua mchezo kuliko wanao ucheza?
Usituchoshe na hekaya za abunuasi mkuu
Swala sio kujua kama ndugu yang CIA Wala nn anaweza akawa TISS 2 Na nisijueBaghdad hayupo tena.
Osama na mtoto wake hawapo tena.
Huyu ni Trump nadhani unawajua Republicans vizuri hawabahatishi.
CIA wako kila mahala hata ndugu yako wa damu au rais wako anaweza kuwa anawafanyia kazi CIA na usiwahi kujua!
mtoa mada hoja yake inafutiliwa mbali na tangazo la Isis kutangaza mrithi wa baghdad kwa nini wasimtangaze mapema ?Unaonyesha wazi ya kuwa hujamuelewa mtoa mada. Mtoa mada hakatai ya kuwa Baghdad hajafa,anajua kweli amekufa ila sio hivi karibuni kama tulivyotangaziwa.
Mimi tu kuna swali moja tu ambalo nataka kumuuliza mtoa mada.
Atakuelewa wapi jamaa na kazi yake kuburuzwa tu. Huyo ni "Dont ask just believe"Sizungumzii kwamba yupo hai au amekufa, hiyo siyo ishu hapa, nadhani hjaelewa uzi mzima. Kwanza kama alivyo kuwa Osama, alzarqawi, na pia kulikuwa na Albaghadad mwingine kabla ya huyu, wote walikuwa wanakufa na kufufuka, kwenye haijalishi kafa ua yupo hai, ninacho zungumzia hapa ni namna watu wenye akili ndogo wanavyo aminishwa kuwa kuna 'gaidi' mahali na ili tuweze kumdhibiti, tupe haki zako za privacy, toa sheria hii weka ile n,k wakati mwisho wa siku waathirika ni mimi na wewe, sababu hapakuwa na kitisho cha gaidi, bali kimetengenezwa ili kutuporoka haki zote. Mwisho wa siku gaidi ni wewe na mimi, sababu ndiyo wahanga wa sheria hizo.