Kifo cha aibu

Kifo cha aibu

Kila kifo ni cha aibu, hakuna kifo kisicho cha aibu.
Ila jiwe hakutarajia kufa hivi karibuni ndio maana alifanya vituko vya mtu mwenye matarajio ya kuishi. Alitarajia angeongoza miaka 10 na mingine ya kubadilisha katiba.
Ila alikuwa ni mtu mwenye wasiwasi wa kudhuliwa kuliko raisi yoyote kuwahi tokea TZ.
Kifo mi huwa naona kama si adhabu kwa kuwa kila mtu atakufa.
Halafu huyo askari haoni yanayotokea sasa, ni bora angepata adhabu ya kufukuzwa kazi ili tuwe tunamshuhudia anavyosota kuliko kufa hata hatumuoni.
 
Back
Top Bottom