Kifimbo cha Nyerere kapewa mbowe?

Kifimbo cha Nyerere kapewa mbowe?

Kabakabana

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2011
Posts
5,550
Reaction score
1,166
Kuna tetesi nimezipata kuwa kile kifimbo cha mwalimu nyerere kakabidhiwa mbowe na mama maria nyerere na kwamba jeykei amekasirishwa sana na kitendo hicho lakini mama maria amesema hayo ndio maagizo aliyoachiwa na mwalimu.Kuna yeyote anaejua kuhusu jambo hili?
 
Mi najua habari hii.
Sio kweli. Mama maria unayemuongelea ni muuza ubwabwa hapa tandale.

kwa hiyo huyo mama maria anaeuza ubwabwa tandale ana kifimbo cha nyerere au?
 
JK Nyerere alitoa maagizo ya kuwa kifimbo chake akifa akabidhiwe mbowe! ni lini yamefanyika hayo makabidhiano na wapi?Nalog off
 
nimesikia tetesi hizo ndo maana nimewasilisha kwenu wadau na wewe unaniuliza tena?fanya utafiti na wewe
 
utafiti wa kazi gani mie hata wanakokaa sikujui,watajuana wenyewe na kifimbo chao.ɟɟo ƃoןɐu
 
kifimbo cha nyerere kipo Butiama kwenye Jumba la makumbusho ya nyerere. kwenye hilo jumba kuna hata saa alizokuwa anavaa, suti aliyovaa siku anaenda hosptali kwa mara ya mwisho, vibaragashia na viatu.fimbo za nyerere zipo tatu. ya kwanza ni ile aliyotumia wakati wa kutafuta uhuru ilikua kama bakola, nyingine ni ile aliyokuwa anatumia baada ya kuwa Rais na nyingine ambayo ni ndogo kuliko zote alikuwa anaitumia anapoenda sehemu mbalimbali. sasa sijui wewe unasema ipi. mia
 
Ahsante kwa taarifa.ɟɟo ƃoןɐu
 
JAMA KUNA TETESI ZINASEMA KUWA FREEMAN AIKAELI MBOWE NI MTOTO WA JULIAS KAMBARAGE NYERERE, hawa wanaoeneza hili wanadai kuwa enzi nyerere akidai uhuru alikua best friend wa mume wa mama yake mbowe hvy mzee huyo alikuwa anamwamini sn nyerere hvy wkt mwingine alipokua anaenda kwenye mishemishe zake nyerere alikuwa anaenda kwake na ndipo mama aikaeli alipopata mimba ya mzee jk na akamzaa mwana ambaye ni freeman mbowe, na wanaenda mbali na kusema nyerere alimpenda mbowe klk wanawe wote hvy akampa fimbo yk. MI SIJUI KM NI KWELI AU UZUSHI... ila
 
shukrani mkuu umenisaidia sana,hata sikujua alikua na fimbo tatu
 
JAMA KUNA TETESI ZINASEMA KUWA FREEMAN AIKAELI MBOWE NI MTOTO WA JULIAS KAMBARAGE NYERERE, hawa wanaoeneza hili wanadai kuwa enzi nyerere akidai uhuru alikua best friend wa mume wa mama yake mbowe hvy mzee huyo alikuwa anamwamini sn nyerere hvy wkt mwingine alipokua anaenda kwenye mishemishe zake nyerere alikuwa anaenda kwake na ndipo mama aikaeli alipopata mimba ya mzee jk na akamzaa mwana ambaye ni freeman mbowe, na wanaenda mbali na kusema nyerere alimpenda mbowe klk wanawe wote hvy akampa fimbo yk. MI SIJUI KM NI KWELI AU UZUSHI... ila

hili nalo sikulijua,dah hapa kazi ipo basi
 
naona tupo kwenye habari za burudani na michezo,excellent kabakabana
 
Back
Top Bottom