Yudasti
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 947
- 1,353
Leo nimepata fursa ya kukiona na kukigusa kifimbo cha Malkia wa Uingereza. Kifimbo hiki kinaashiria maandalizi ya michezo ya Olimpiki itakayoanza mwakani 2018 nchini Australia. Nichukue fursa hii kuwaomba watanzania kushiriki michezo kwa msaada wa kamati ya TOC - Tanzania chini ya kamati nzima ya Mzee Filbert Bayi. Hongera nyingi pia kwa shule ya St Jude Arusha kwa mapokezi mazuri ya kifimbo cha Malkia