SHIEKA happy new year nimeazima simu ya memberMshana bwana! Nimefungua thread nikidhani nitakuta picha ya lile ua ambalo ukiligusa tu linajikunja na kunywea!Linaitwa 'kifaurongo' Sasa huyu mdenish kafakamia whisky mpaka anadondoka kwenye kiti unamwita kifaurongo?
Last edited by a moderator: