Kifahamu choo kisichotumia maji

Huo ni uchafu maji hayajesha duniani kiasi hicho pili kutumia kama mbolea hata hicho chakula wengine hatutakula ptuuuuu wazu ngu ni wachafu sana basis tu
 
Wazungu Ni vichaa.

Tena asilimia kubwa huwa hawajitawazi na Maji. Wanajifuta TU na toilet paper.

Nowdays Nmeona vyoo, automatically vinakutawaza ukishajisaidia.

Sasa hayo mambo ya kutomasana kinyeo Nan anataka?

Hawa jamaa wachafu Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nawaza tu ktk Porn zao..Mambo ya Analingus sjui wanaenjoy kitu gn.
 
Bei ya huo mfuko ? Na ujazo wake ukoje hasa ?



nahis itawafaa tu wazungu. aina yetu ya vyakula hiyo mifuko midogo.. mzungu lunch burger moja.. mmbongo lunch uqali maharage mchicha ndizi parachichi, maji lita mbili na nanas moja. wakat asubuh keshapiga chapat, uji wa ulez . supu na ndivi mbivu

labda wawe wameweka visaflet
 
R
Kutokana na ongezeko mabadiliko ya hali ya hewa, kuongezeka kwa shughuli za uchumi zinazoharibu mali asili. Uhaba wa maji duniani unatabiriwa huko siku za mbele.

Wataalamu wamekuja na choo cha ndani kisichotumia maji. Unaweka mfuko kama lining ndani ya choo, ukimaliza shughuli kuna kifute unabonyeza mfuko unajifunga na kukaa kwenye chember.

Inategemea idadi ya watu wanaotumia choo. Mkiwa wengi inabidi kumwaga chemba kila siku. Mkiwa wachache mnamwaga chemba mara moja kwa wiki.

Mifuko inayotumika inatokana na vyanzo asili. Unaweza kuuza uchafu unaotoka kwenye chember ukatumika kama mbolea mashamabani.

Risk! Gharama za mfuko!,pakwenda kuyamwaga! ,Mtu wakuyabeba kwenda kumwaga!,NANI ANAWEZA KUISHI NA HARUFU YA KINYESI KUTWA NZIMA! Kwa hivi hapana!

Vipo Aina nyingine havitumii mifuko,maji halafu vinawekwa bakteria.Ukikitumia ndani ya masaa 2 choo kinakuwa Kama udongo tifutifu na hauna harufu
 
Back
Top Bottom