Sound proof zipo lakini ni gharama sanaWakuu habari,
Samahani, naishi mbagala huku. Jirani naona kaamua kugeuza nyumba yake Kuwa bar. Mziki anazima saa nane, usiku nimejaribu kuongea nae. Sauti ya mziki kapunguza muda mwingine hakawa hafiku huko. Ila sasa naona karudia utaratibu wake, na mbaya zaidi kuna walevi wapo karibu dirisha langu wanaongea na kucheka kwa nguvu mpka wamenishtua. Imagine sasa ni saa kumi, na nimelala saa saba.
Swali Langu:
Nauliza kama kuna noise blocking device yoyote naweza kupata kwa hapa tz.
Zinauzwaje na wapi ntazipata?
Hakuna namna wewe cha kufanya ni kumpiga kipapai tu wafe au wa hame mtaa
Kadhtaki kwa uongozi wa mtaa husika.
Hataki bifu na mtuInabidi urekodi hizo sauti muda tofauti hata hao unaowasikia dirishani na kwenda kuripoti ukiwa na proof ya yanayotokea ili wakuelewe vizuri.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji779] [emoji779]Saa saba umelala ulikuwa wapi kama sio ulitoka kulewa tu. Acha kuwaonea wivu wenzako wafurahie wikendi, naona wewe zilikata mapema
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Saa saba umelala ulikuwa wapi kama sio ulitoka kulewa tu. Acha kuwaonea wivu wenzako wafurahie wikendi, naona wewe zilikata mapema
Hapana situmii kilevi chochote, nipo ndani huwa naendelea kufanya kazi zangu binafsi ambazo Mara nyingi saa 4 au 5 usiku nakuwa nimemaliza. Kukaa mpka saa inatokana na kukosa usingizi kwa sababu ya kelele.Saa saba umelala ulikuwa wapi kama sio ulitoka kulewa tu. Acha kuwaonea wivu wenzako wafurahie wikendi, naona wewe zilikata mapema
Mkuu, dawa ya usingizi ni kujidunga mipombe mingi tuHapana situmii kilevi chochote, nipo ndani huwa naendelea kufanya kazi zangu binafsi ambazo Mara nyingi saa 4 au 5 usiku nakuwa nimemaliza. Kukaa mpka saa inatokana na kukosa usingizi kwa sababu ya kelele.
Naisubiri hii device kwa hamu, niHakuna namna wewe cha kufanya ni kumpiga kipapai tu wafe au wa hame mtaa
Kwanza mwambie peleka malalamiko yako kwa kiongozi wa mtaa, bilashaka majirani zako wataungana na wewe. Ikishindikana nenda katoe taarifa polisi. Inawezekana kabisa muziki ukapungua sauti ila sasa matusi ya wanywaji utayasikia bila chenga. Badala kuingia ghalama za vidhibiti kelele bora jipange ujenge sehemu nyingine.Wakuu habari,
Samahani, naishi mbagala huku. Jirani naona kaamua kugeuza nyumba yake Kuwa bar. Mziki anazima saa nane, usiku nimejaribu kuongea nae. Sauti ya mziki kapunguza muda mwingine hakawa hafiku huko. Ila sasa naona karudia utaratibu wake, na mbaya zaidi kuna walevi wapo karibu dirisha langu wanaongea na kucheka kwa nguvu mpka wamenishtua. Imagine sasa ni saa kumi, na nimelala saa saba.
Swali Langu:
Nauliza kama kuna noise blocking device yoyote naweza kupata kwa hapa tz.
Zinauzwaje na wapi ntazipata?
Na hiyo sehemu baada ya kujenga ikajengwa baa nyingine yenye the same kelele? Ajenge tena sehemu nyingine?Kwanza mwambie peleka malalamiko yako kwa kiongozi wa mtaa, bilashaka majirani zako wataungana na wewe. Ikishindikana nenda katoe taarifa polisi. Inawezekana kabisa muziki ukapungua sauti ila sasa matusi ya wanywaji utayasikia bila chenga. Badala kuingia ghalama za vidhibiti kelele bora jipange ujenge sehemu nyingine.
Ushauri wangu wa kwanza ni kuafuta uongozi wa mtaa hadi polisi. Lakini ghalama ya soundproof ni kubwa sana. Basi ushauri rahisi avumilie tu mpaka mwenye hiyo baa itakaposhindwa kuiendesha.Na hiyo sehemu baada ya kujenga ikajengwa baa nyingine yenye the same kelele? Ajenge tena sehemu nyingine?