Wanapoonesha bunge halafu mpiga picha akinioneshaga kifaa hiki huwa nabarikiwa sana, hata kanuni za bunge huwa zinaingia sana kichwani.
Big up kwa mpiga picha wa star tv kwa kurudia mara kwa mara kukionesha kifaa hiki utafikiri huwa unaangalia nafsi yangu.
Kule peponi hivi vyombo vipo vingi sana.
Kifaa viti maalum hicho. Sijui anaitwa nani vile??Hivi unamaanisha huyo mtu au hiyo MIC maana sijaona kitu bado mkuu...au ni hizo pipi kwenye bakuli
Jinale tafadhali,na kutoka chama gani?...
Wapo wengi sana, usingewamaliza..Mi ningeingi hili bunge haki ya mungu ningekaukiwa mbegu...daaaah
kinafunga nini ?
Mi ningeingi hili bunge haki ya mungu ningekaukiwa mbegu...daaaah
mabomba
aaaaaaaah yaani kifaa kwenye nini sasa mleta uzi mbona hueleweki, au anatokea kwenu, ? au unampenda ? au au au ? leta majibu tafadhali maana hata sijaelewa kabisa
safi sana akiitaji msaidizi naomba anione nimpe msaada
Jina hili hapa Pauline Gekul nafikiri kutoka CCM.