Kifaa Cha kuzuia Utekaji

Samsung walikuwa nayo hiyo unaset tu matumizi ya power button ukibonyeza mara 2 au tatu mfululizo inapiga picha ya siri bila mlio inaambatanisha location na kutuma kwenye contact uliyochagua.
 
Hizi simu zina mambo mengi tu sema wangekuwa wanatuwekea mannual ya kutuelekeza tungejuwa vingi.
 
Kuna vitu kwenye simu unaweza kununua mpaka unauza hujavititumia kabisa.
Kama hiyo feature inakuwezesha angalau ukitekwa wahusika watajua mara ya mwisho ulikuwa wapi kwa kuonesha picha ya eneo hilo.
 
Sana tu kiongozi, bora hata hawa jamaa kwenye FB na Tiktok wamekuwa wakitujuza application za hapa na pale tunabaki tunashangaa na simu tunazo miaka nenda rudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…