bush crazy
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 773
- 1,087
ahsante!poleni na majukumu wakuu! Niende kwenye mada moja kwa moja.
Nimekuwa nikiona viongozi wanchi na wengineo kwenye mikutano ya kimataifa wanatumia kitu kama earphone pindi mkutano ukiendelea nikaja kuambiwa kuwa vile ni vifaa vya kutafsiri lugha
sasa nina maswali kwa anae fahamu
A. kile kifaa huwa hakikosei kutafsiri?
B. kinauzwa shingapi? kama bei ni ndogo serikali iwanunulie walimu wote wa sekondari Tanzania ili tatizo la kingereza liishe
C. Mfumo gani ulitumika kuingiza lugha kwenye hivyo vifaa.
ahsanteni na karibuni kwa michango!
Siyo kweli kile kifaa kina uwezo wa kutranslate Chenyewe, na kina fanya kazi kwa Lugha wazo feed kwenye kifaa hicho. Sasa akiwa anatafsiri mtu, kama kuna watu watatu wasio elewe Lugha inayongewa alafu wakalimani watafsiri si itakua fojo.poleni na majukumu wakuu! Niende kwenye mada moja kwa moja.
Nimekuwa nikiona viongozi wanchi na wengineo kwenye mikutano ya kimataifa wanatumia kitu kama earphone pindi mkutano ukiendelea nikaja kuambiwa kuwa vile ni vifaa vya kutafsiri lugha
sasa nina maswali kwa anae fahamu
A. kile kifaa huwa hakikosei kutafsiri?
B. kinauzwa shingapi? kama bei ni ndogo serikali iwanunulie walimu wote wa sekondari Tanzania ili tatizo la kingereza liishe
C. Mfumo gani ulitumika kuingiza lugha kwenye hivyo vifaa.
ahsanteni na karibuni kwa michango!
Ahsante mkuu kwa mchango!Siyo kweli kile kifaa kina uwezo wa kutranslate Chenyewe, na kina fanya kazi kwa Lugha wazo feed kwenye kifaa hicho. Sasa akiwa anatafsiri mtu, kama kuna watu watatu wasio elewe Lugha inayongewa alafu wakalimani watafsiri si itakua fojo.
usihofu kakaMkuu wakukitajia naomba initaarifu na mimi
ngoja waje mkuu.Sio mtu anaye tafsili kweli wajuvi nipeni elimu
Acha kubisha busha vitu usivyo vijua, natumia free basics nashindwa kuattach picha Tena ya juzi mkutano wa sadc nikuonyeshe, acha ujuaji!Siyo kweli kile kifaa kina uwezo wa kutranslate Chenyewe, na kina fanya kazi kwa Lugha wazo feed kwenye kifaa hicho. Sasa akiwa anatafsiri mtu, kama kuna watu watatu wasio elewe Lugha inayongewa alafu wakalimani watafsiri si itakua fojo.
ahsante sana mkuu! nimekupata sasa ngoja niende kijiwen kuwa elimisha!Kama mkutano una watu wanaozungumza lugha 5 (kwa mfano) wanakuwepo pia watu watano kwenye chumba maalumu ambao unakuta labda chanel namba 1 kireno, ch namba 2 kichina, ch namba 3 kirusi, ch namba 4 kiingereza, ch namba 5 kifaransa......
Hapa wanatangaziwa kabisa lugha fulani ni ch namba fulani so wewe una select namba ya lugha yako, wale wanaotafsiri kule hawajui wanamtafsiria nani.......wao wanapokea kilichoongelewa na wao wanakitafsiri kama kawaida
Kwa uchache huo nadhani utakuwa umeelewa kidogo