Kieran Tierney na dili jipya Arsenal

Mnyuke junior

Member
Jun 1, 2021
19
15
Washika mitutu wa kaskazini mwa London (Gunners ) wameanza mazungumzo na beki wao wa kushoto KIERAN TIERNEY juu ya kuongeza mkataba mpya wa kuendelea kukipiga arsenal,ikumbukwe arsenal walimsajili tierney toka celtic mwaka 2019 na ameonesha kiwango kikubwa sana toka aanze kuitumikia miamba hiyo
IMG_20210612_084856_590.jpg
 
Arsenal wanatia huruma, mpaka mashabiki wake wengi hawana ujasiri wa kuchangia hoja juu ya timu yao. Timu imeshaamua kujitenga na mataji kutokana na aina ya wachezaji inaowasajili.
 
Arsenal wanatia huruma, mpaka mashabiki wake wengi hawana ujasiri wa kuchangia hoja juu ya timu yao. Timu imeshaamua kujitenga na mataji kutokana na aina ya wachezaji inaowasajili.
😁 acha tu ishakua timu yenye asili ya kutokunyanyua makwapa
 
Back
Top Bottom