Hapo we jiongeze tu ila usishiriki kwenye biashara hizo za upatu maumivu yakijatokea mailalamikeKama hazirudi, watuambie zinaenda wapi?
Zinaenda hazina kwa ajiri ya maendeleo..Kama hazirudi, watuambie zinaenda wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zinaenda hazina kwa ajiri ya maendeleo..
#maendeleo hayana ccm wala cdm#
#tokomeza #umaskini
Ndiyo Ukweli WenyeweSerikali ina uhitaji wa fedha nyinyi mnazichezea? 🤣🤣
Wacha zikabusti miradi
Jana ni burudani tu na leo ni raha tu 😃😃😃.. tumeshazoea hali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vp uko mitaa yako ile
Ah ss tuishi tuu maana tumekuwa wazee wa nutrooo
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Wanachukua Wanaweka Waah....Kama hazirudi, watuambie zinaenda wapi?